Jeshi la Polisi nchini sasa ni aibu jamani. Fedha zinawaondolea maadili yoote. Mtuhumiwa aliyeua hivi majuzi kule Mererani jeshi linatoa taarifa za kupingana.
Polisi wanalinda wenye pesa hata katika uhalifu wa wazi mauaji yanayoendelea nchini bila hatua stahiki kuchukuliwa jeshi linastahili kulaumiwa.
Hata mtuhumiwa aliyeua kule Mererani jeshi lilikuwa linaogopa kumpeleka Babati, na inasemekana maelezo ya Mtuhumiwa huyo yalibadilishwa kwa nguvu ya pesa, tetesi za sasa tunaposikia kuna mwingine kauawa, yule aloshikiliwa majuzi naye yupo mtaani anapeta.
Ndiko tunakoelekea?