RICH MAVOKO
Member
- Dec 10, 2013
- 35
- 16
Kumbee.....wanakuja sasa hivi subiri..........
Kumbee.....wanakuja sasa hivi subiri..........
Mkishamaliza kuangalia huo mstakabali mtarudi tu hapa ndo homehaa haaa haji mtu leo tunaenda siasani kujua mustakabali wa nchi yetu (joke)
Mkishamaliza kuangalia huo mstakabali mtarudi tu hapa ndo home
Umechanganya habari, mwanzo umesema wanaume hulazimika kukaa mbali wakati mwingine sababu ya kutafuta pesa na wanawake kwa kujisikia upweke huamua kutafuta wanaume wa nje, mwishoni unasema waache kupenda pesa ili wasionekane viumbe vya starehe tu. Nadhani ungemalizia wanawake badilikeni vumilieni mihemko yenu tunapokuwa bize kuzitafuta.