Fedha kupotea crdb

nover

JF-Expert Member
Joined
Apr 7, 2012
Posts
239
Reaction score
178
Leo nilienda kutoa fedha crdb kupitia Atm cha kushtusha nimekuta fedha salio limepungua kwa kiasi cha milioni tano. Nimeongea na Huduma kwa Wateja crdb wananiambia kua kuna muamala ulifanyika jumatatu kuna mtu alienda akachukulia fedha dirishani zaidi ya Milioni 5 ila anashindwa kuniambia kua ni tawi gani. Kwa anauejua utaratibu wa kufata naomba anifaamishe tafadhali

Sent using Jamii Forums mobile app
 
chukua taarifa fupi kisha katoe taarifa police ya kuibiwa, mpelekee meneja wa CRDB ahangaike nayo
 
Crdb angalau ndio benk ninayoiamini kiasi Sasa kama nawao wameanza kama nmb basis kuna Baja ya kuamishia pesa zetu kwenye benk za kimataifa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…