swali namba 3:1.BOT inatumia misingi ipi kusambaza pesa?
2.Pesa isiyoshikika ni ipi hiyo mkuu?
3.Pesa ikiwa nying mkuu si ndio kipimo cha utajiri kwa watu na itaboost production due to the existance of enough market (customers), iweje tena pesa ikiwa nyingi ilete uhaba . au sijaelewa mimi mkuu nieleweshe
Nina maswali meng ila nisaidie hayo kwanza mkuu
swali namba 3:
"survival of the fittest" chukulia nina maembe 105, nikawarushia nyani 20 sandakalawe ya machungwa, chukulia nyani 5 kati ya wote walibahatika kupata kila mmoja machungwa 5 na waliosalia walibahatika kupata machungwa 5.3, automatically waliopata machungwa 5.3, watesema leo ni siku ya neema, hivyo ndivyo ilivyo kwetu wewe ukibahatika ndani ya mwaka mzima kunyakuwa say 1billion kwenye mzunguko utasema mwaka huu kuna hela nyingi sana, kumbe hamna ni mazingira tu yametokea money supplied in circulation imekutembelea na wewe ndo kupelekea kusema mwaka huu ni waneema, kumbuka wengine hapo wanalia njaa inawezekana katika billioni yako , millioni 500 ilipaswa iwafikie raia 300 wenye njaa sema umewazidi maarifa ukachukua pesa ya watu 300 , ndo unakuja kusema pesa ni nyingi mtaani kumbe hamna kitu, pesa inabecontrolled haiwezi kuwa nyingi bila sababu
Ahsante mkuu bado namba 1swali namba mbili,
pesa isiyoshikika ni electronic money mfano ni ile ya kama ya MPESA, au ile unaletewa message ya account yako ya bank baada ya kutoa pesa kwamba salio la benk ni tsh xxxxx
Sorry, to say not true.swali namba mbili,
pesa isiyoshikika ni electronic money mfano ni ile ya kama ya MPESA, au ile unaletewa message ya account yako ya bank baada ya kutoa pesa kwamba salio la benk ni tsh xxxxx
MONEY SUPPLY must be equal or less to total goods and services. sasa mkuu pesa zikiwaa nyingi mtaani huoni kutakuwa na shida kwa masula ya uchumi??Huyo aliyetoa wazo hilo la no 7 inafaa apigwe risasi. Kadri ya pesa zinavyokuwa tele mtaani ndivyo watu watawekeza zaidi na kutumia zaidi na uchumi utakua zaidi
Principal za kizamani pesa ni nguvu inatakiwa ipatikane kwa urahisi Ili watu wafanye Kazi,mbona Ulaya inapatikana kirahisi na ndo maana Wana maendeleo.MONEY SUPPLY must be equal or less to total goods and services. sasa mkuu pesa zikiwaa nyingi mtaani huoni kutakuwa na shida kwa masula ya uchumi??
umesema kweli mkuu, mi sio mchumi ila napenda kupata details za uchumiPrincipal za kizamani pesa ni nguvu inatakiwa ipatikane kwa urahisi Ili watu wafanye Kazi,mbona Ulaya inapatikana kirahisi na ndo maana Wana maendeleo.
Pesa ni mtaji ikipatikana kwa wepesi watu watafungua biashara, watajenga, watafanya starehe, watapeleka shule bora watoto huko kwenye kutumia ndipo serikali itapata kodi.
Mawazo ya pesa nyingi mtaani ndo SAwa na mawazo ya kizamani et ant dumping kodi kubwa eti kuzuia jalala hii ni principal ya zamani sababu zamani hapakuwepo na recycling. Principal za uchumi zibadilike kulingana na wakati.
sasa mkuu ni kigezo gani benki kuu wanakitumia kuprint pesa mpya na kuzimwaga mtaani? watu wanaposema hela kipindi hiki ni kigumu, ina maana pesa zilizokwenye mzunguko ni chache.? hesabu zipi wanakokotoa kujua sasa tuingize not za 10000 kadhaa na noti za 1000 kadhaa, hii concept ya money supply must be equal or less to total goods and services huwa siilewi kabisaPrincipal za kizamani pesa ni nguvu inatakiwa ipatikane kwa urahisi Ili watu wafanye Kazi,mbona Ulaya inapatikana kirahisi na ndo maana Wana maendeleo.
Pesa ni mtaji ikipatikana kwa wepesi watu watafungua biashara, watajenga, watafanya starehe, watapeleka shule bora watoto huko kwenye kutumia ndipo serikali itapata kodi.
Mawazo ya pesa nyingi mtaani ndo SAwa na mawazo ya kizamani et ant dumping kodi kubwa eti kuzuia jalala hii ni principal ya zamani sababu zamani hapakuwepo na recycling. Principal za uchumi zibadilike kulingana na wakati.