Enough is enough Say no to Deef Ears 'Watawala Walio ziba Pamba masikio'Yanayotokea Tanzania, yakitokea kwa wenzetu nchi inasimama. Nisiitaje kwani mifano ni mingi Duniani. Watanzania amkeni. Kama leo ni mimi kesho ni wewe. Kama siyo wewe ni baba yako, dada yako, kaka yako au Mtoto wako. au jirani yako. Inabidi sasa tuseme : ENOUGH IS ENOUGH..,.. Imetousha !
niceYanayotokea Tanzania, yakitokea kwa wenzetu nchi inasimama. Nisiitaje kwani mifano ni mingi Duniani. Watanzania amkeni. Kama leo ni mimi kesho ni wewe. Kama siyo wewe ni baba yako, dada yako, kaka yako au Mtoto wako. au jirani yako. Inabidi sasa tuseme : ENOUGH IS ENOUGH..,.. Imetousha !
Lissu alipigwa risasi 36 lakini bado yupo hai, akwillini kapigwa moja tu na amepoteza maisha hapo hapo, aisee mungu ni waajabu sana, RIP akwilini
Nina imani wewe pia unajua wanapokaa, anza wewe na ulete mrejesho.SWALI KUU: Hivi ni kweli wtz sisi hatujui wanamoishi viongozi wa ccm??? Kwa nn tunkubali kizembe hivi tunuawa kuteswa na kufnyiwa kila baya lkn tumekaa kimya wkt hao mbwa tunishi nao.....KWA NN TUSIANZE KUZAA NA VIONGOZI WOTE WA CCM PALE WALIPO MPAKA WAACHE KUTUUA?
We mbwa acha kuwa na imani potofu...ummoja ni nguvu.....wanaouwawa na kuteswa kwa amri ya viongozi wa ccm kutoka juu ni wengi sn. So kwenye hao sisi ww haumo maana ni mtu usiyejulikana au pengine sio raia bali mnyarwanda hauna uchungu wowote na nchiNina imani wewe pia unajua wanapokaa, anza wewe na ulete mrejesho.
Usipende kutumia nafsi ya wingi "sisi" pendelea umoja "mimi" na ndo itakusaidia.
Anza wewe ili wengine waone mfano...We mbwa acha kuwa na imani potofu...ummoja ni nguvu.....wanaouwawa na kuteswa kwa amri ya viongozi wa ccm kutoka juu ni wengi sn. So kwenye hao sisi ww haumo maana ni mtu usiyejulikana au pengine sio raia bali mnyarwanda hauna uchungu wowote na nchi