Sh ngp na sifa zakeNipo na redmi 10c. Nakula maisha hapa na features kibao za xiaomi.
Bei ni laki tatu na thelathin elfu mpaka laki tatu na hamsini elfu kutegemeana na internal storage. Kuna zenye 4gb ram/64gb rom na 4gb ram/128gb romView attachment Xiaomi Redmi 10C Price in Tanzania.pdf
Hii first and second space naipataje?Umesahau features ya ukiwasha tochi kuzima una bonyeza power button Tu pia, pia data sio lazima uzime ikiwa unatumia itajiwasha na usipotumia itazijima, vile vile Sim nyingi za xiaomi zina infrared kukuwezesha kutumia kama remote. Second space Ndio mzigo mtamu hasa km simu yako hushikwa shikwa ukiwa kwenye xiaomi hilo wamezingatia unaweka vitu vyako tofauti na first second unatumia application tofaut Na second space yaan haziingiliani Hata msg iingie first second wakati huo wewe upo second itakujulisha tu ujumbe umeingia na huwezi kuingia mpaka uweke password yake
Hii kitu nzuri sana.
Hiyo ni changamoto kubwa boss, nami pia niliulizia kule telegram kuhusu upatikanaji wa battery ya redmi note 7 pro but sijapewa jibu hadi leo, nilimcheck hadi mhindi wa HIGH-LIFE akasema hawana niende kariakoo tu.Wadau ntapata wap battery original za redmi note 8 , nilinunua moja juzi kat kariakoo halinA ata siku tatu linazima likifika 30%
Agiza AliExpress mbona wanatuma tu vizuri. Sema hizi simu sasa hivi kuna feature wameanza kuzitoa. Kuna moja ya kuhide picture na video. Tamu sana. Sijajua itaendelea kuwepo au itakuwa kwenye simu za zamani tu. Yangu Mi 11 lite 5g.Hiyo ni changamoto kubwa boss, nami pia niliulizia kule telegram kuhusu upatikanaji wa battery ya hiyo simu but sijapewa jibu hadi leo, nilimcheck hadi mhindi wa HIGH-LIFE akasema hawana niende kariakoo tu.
Tatizo battery za kariakoo haziaminiki, aliexpress wao hawatumi battery na nilishajaribu miaka 2 iliyopita nikafeli.
Kuna seller kasema ana namna ya kuship so nimejiripua kwake nione kama itafika .
Mbona Huo mkeka ulioweka hausadifu ulichandika maana bei uliyoweka kwenye PDF unapata redmi note ProBei ni laki tatu na thelathin elfu mpaka laki tatu na hamsini elfu kutegemeana na internal storage. Kuna zenye 4gb ram/64gb rom na 4gb ram/128gb romView attachment 2567072
Kuagiza battery tupu aliexpress ni kipengele maana nilishawahi agiza zaidi ya mara 3 mwaka juzi nikaishia kupewa refund.Agiza AliExpress mbona wanatuma tu vizuri. Sema hizi simu sasa hivi kuna feature wameanza kuzitoa. Kuna moja ya kuhide picture na video. Tamu sana. Sijajua itaendelea kuwepo au itakuwa kwenye simu za zamani tu. Yangu Mi 11 lite 5g.View attachment 2567438
Vitu vingine sawa ila battery huwa wanazingua sanaAgiza AliExpress
Miaka ya nyuma 2017 huko tulikuwa tukiagiza sana power bank za mi, na battery mbali mbali bila ya shida ila kuna muda flani walisitisha utumaji wa power bank na battery 🔋 kisa miripuko.Kwa nini
Hii naipataje Kwenye Redmi 10CHii kitu nzuri sana.
View attachment 2567269
Kama binadam tu.Features mzuri ila design ya simu zao ni mbaya.
Mkuu nikiagiza simu Aliexpress, inachukua muda gani kufika Bongo?Eti tangazo[emoji23][emoji23] Sasa namtangazia nani ikiwa mwenyewe nategemea AliExpress kupata simu za Xiaomi.
Mkuu nikiagiza simu Aliexpress, inachukua muda gani kufika Bongo?
Agiza AliExpress mbona wanatuma tu vizuri. Sema hizi simu sasa hivi kuna feature wameanza kuzitoa. Kuna moja ya kuhide picture na video. Tamu sana. Sijajua itaendelea kuwepo au itakuwa kwenye simu za zamani tu. Yangu Mi 11 lite 5g.View attachment 2567438
Je kwa matoleo ya zamani labda feature hizo zitaendelea kuwepo? Google wahuni sana.Nmesikitishwa sana na kuondolewa kwa "feature" inayowezesha kuhide picha na video.