Bayern ana tofauti ya magoli 30 hadi sasa. Endapo akipoteza hizi mechi 2 zilizobaki na Leverkusern ashinde mechi zake 3 zilizobaki, watakuwa na points 76 kila mmoja.
Lakini utofauti wa magoli utaibeba Bayern. Kiuhalisia Leverkusern hawezi kumzidi Bayern magoli 30 ndani mechi 3.