No offense ila ligi ya Ujerumani siichukulii serious.
Nimeona mkuu
Mwifwa umejibu Leipzig na BVB siyo wa kupuuzwa lakini that means hawa wawili hata wakiweza kukupiga nje ndani means mzimu mzima utamalizika Bayern imepoteza mechi zisizozidi sita.
Now angalia hii kitu. Bayern inashika nafasi ya kwanza kwenye ligi, nafasi ya pili anashika RB. Bayern ananunua kocha na CB first eleven wa RB.
Next season hawa RB watakua wapi? Hivi ndivyo namna Bayern inaua ushindani Bundes liga. Kila mchezaji mzuri wa Bundes liga ujue Bayern atamtaka kumkosa ni asilimia chache endapo tu mchezaji husika atakataa ofa mfano Reus. Nje ya hapo yeyote atakayetakiwa hua hapindui.
Inasemekana wachezaji wa Bundes liga hua wanacheza wakiwa na ndoto ya kuchezea Bayern ndiyo maana hua hawakatai ofa. Am simply saying Bayern kwa ligi waliyopo there is not much