Nipo Mkuu,nimeloa ndembendembe.Lakini,Barcelona wameonesha kiwango kizuri. Na 'wamenyimwa' penati
Leo mnamo tarehe 2/3/2013 saa kumi na mbili jioni,FC Barcelona wataanza kazi yao.Baada ya kubezwa,kudharauliwa,kuonekana hawafai,kuonekana kiwango kimeporomoka na mambo yafananayo na hayo,Barcelona wataanza kuwaonesha kiwango chao halisi Real Madrid watakapopambana nao uwanjani Santiago Bernabeu.
Wakisheheni kila aina ya kipaji cha soka,Barcelona walipokea kebehi za kutosha baada ya kupigwa kumbo mara mbili na AC Milan kwa kuzabwa mabao 2-0 na baadaye kuonja shubiri ya mabao 3-1 kutoka kwa Real Madrid siku chache zilizopita. Leo wataanza kazi rasmi ya kuziba midomo ya wakejeli wao kwenye mechi ya La Liga.
Wataonesha kuwa wana plan B na hata C ya ushindi. Kila atakayekuja mbele yao,kuanzia na Real Madrid,atakumbana na kiwango cha hali ya juu cha Barcelona. Wapo watakaoishinda Barcelona na kuifurusha kwenye michuano mbalimbali.Lakini,wataishinda Barcelona ya kweli.
Muda wa kazi ni sasa!
NB: Mimi ni shabiki wa Yanga na AC Milan lakini ninayependezwa na kiwango cha Barcelona.
Real Madrid watakuwa uwanjani bila Ike Casias pamoja na Angel Di Maria wakati Barcelona watamkosa Xavi Hernandes
cc Gang Chomba Mourinho na wengineo
haaaahaaaahaaaa shem n u kamsabikie lulu atuna mashabikli wa YANGA KAMA WEWE
Subiri mechi na Granada ndio wataamka
Inawezekana kwa jamaa Hawa
Lakini hata Barcelona si walianzisha kikosi cha pili Mkuu?Aaah Mkuu! Nakuheshimu sana ila hizi comments zako zinanipa wasiwasi, kiwango gani wameonesha pamoja na kupangiwa kikosi cha pili?
Lakini hata Barcelona si walianzisha kikosi cha pili Mkuu?
Mwamuzi amewabeba Real Madrid.
Alianza Mascherano,Villa na ThiagoKipi hicho?
Ni kweli.Barcelona imenyimwa penati ya wazi. Kuna kila kampeni ya kuikandamiza Barca kwa Madrid.....ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha haMwamuzi amewabeba Real Madrid.
Alianza Mascherano,Villa na Thiago
Umenena vyema sana MkuuKuna watu walidai kuwa Pep Guardiola hakuwa na kazi yeyote pale na kwamba Barcelona ilitengenezwa na Ridjkaard kiasi kwamba hata Julio wa Coastal Union akipewa Barcelona itashinda tu.
Haya tunayoyaona sasa yakitokea ni matokeo ya timu kukosa kocha. Kama Tito Villanova ataendelea kukosekana miezi mingine miwili hata ubingwa wa ligi uko mashakani.
Anayeifunga Barcelona kwa sasa hana sababu ya kujisifu saaana, HAINA COACH
Kikosi cha kwanza kinawajumuisha akina Fabregas,Xavi na PuyorMchezaji wa kikosi cha kwanza aliyemiss ni Xavi tu, wengine hao hata cjui, kwa hiyo Villa alichukua nafasi ya nani?
Huu sasa utani.Barcelona haina KochaSisi Yanga FC ya Jangwani tunaomba mechi na Barcelona
Kuna watu walidai kuwa Pep Guardiola hakuwa na kazi yeyote pale na kwamba Barcelona ilitengenezwa na Ridjkaard kiasi kwamba hata Julio wa Coastal Union akipewa Barcelona itashinda tu.
Haya tunayoyaona sasa yakitokea ni matokeo ya timu kukosa kocha. Kama Tito Villanova ataendelea kukosekana miezi mingine miwili hata ubingwa wa ligi uko mashakani.
Anayeifunga Barcelona kwa sasa hana sababu ya kujisifu saaana, HAINA COACH