FBI wamethibitisha Hillary Clinton alidanganya

Uyo asikusumbue ni kilaz.a namba moja kutoka lumumba
 

Duh ina maana ndio naikosa Whitehouse hivi hivi?
 
Next time fanya research kidogo kuliko kuokota vitu mitandaoni na kuvirusha humu pole sana ******
Haaaah mkuu kama lazima tufurai some time ......

Sio kila Siku tumenuna tu[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]
 
kwahiyo unampigia debe Trump?.Alafu, mpinga Kristo ndio nini?.
 
Hata mseme nini Hillary Ndo Rais.
 
Marekani imedanganya watu kwa muda mrefu.sasa mwaka huu amekabwa na Urusi.,,ahsante sana somebody Gussifer
 
Jambo linalonisikitisha ni jinsi wamarekani wanavyokuwa 'brain washed' na media kumkubali Hillary na kumchukia Trump
 
Hakuna wabaguzi kama nyie wavaa suruali fupi ,mpaka papa akalalamika kwanini wakristo wake walioko saudia wapatao mil moja hawaruhusiwi kuvaa kitu chochote kinachomjulisha ni mkiristo?na amewajengea kanisa kubwa la karibu $7milion lakini nyinyi misikiti kwao mnajenga bila wasiwasi wowote ule.
 
Huu uchaguzi nao naona unakosa mvuto ,kila siku mambo ya Emails tu hakuna kingine ?
 
Acha kupotosha umma wa JF kwa vitu visivyo na ukweli wowote ..
 
Eti waziri wa kivita wa USA!
 
apite clinton au trump wote ni wale wale tu hakuna unafuu kwa mwafrika wala mlala hoi trump au clinton mmoja akiingia white house lazima alinde maslahi ya wakubwa urais ni zaid ya taasisi uadui ni kwenye kampeni lengo la usa ni kuendelea kuwa taifa lenye nguvu duniani unyang' anyi ni silaha yao kuu
 
Da unatumia sura ya Nyerere aliyekuwa anatafsiri vitabu vya Shakespeare halafu unasoma udaku?

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…