P profesional worshiper JF-Expert Member Joined Dec 23, 2016 Posts 536 Reaction score 387 Oct 6, 2017 #61 Umetumwa wewe,sio bure.
Kilele9 JF-Expert Member Joined Jun 1, 2017 Posts 1,452 Reaction score 1,103 Oct 6, 2017 #62 PILOT 7 said: Hivi Alishalipwa Ile Pesa Yake Ya Kushikwa Shikwa na Wasiojulikana? Click to expand... Ulishaisikiliza hiyo kesi?
PILOT 7 said: Hivi Alishalipwa Ile Pesa Yake Ya Kushikwa Shikwa na Wasiojulikana? Click to expand... Ulishaisikiliza hiyo kesi?
Kilele9 JF-Expert Member Joined Jun 1, 2017 Posts 1,452 Reaction score 1,103 Oct 6, 2017 #63 kipara kipya said: ipo ya sumaye,lowassa akiwa na mtuhumiwa namba moja anaeumwa ugonjwa wa saikolojia! Click to expand... Huo ugonjwa utakumaliza. Picha ya KINANA inafanana naya Sumayi na Lowassa?
kipara kipya said: ipo ya sumaye,lowassa akiwa na mtuhumiwa namba moja anaeumwa ugonjwa wa saikolojia! Click to expand... Huo ugonjwa utakumaliza. Picha ya KINANA inafanana naya Sumayi na Lowassa?
Kilele9 JF-Expert Member Joined Jun 1, 2017 Posts 1,452 Reaction score 1,103 Oct 6, 2017 #64 kipara kipya said: ipo ya sumaye,lowassa akiwa na mtuhumiwa namba moja anaeumwa ugonjwa wa saikolojia! Click to expand... Huo ugonjwa utakumaliza. Picha ya KINANA inafanana na ya Sumayi na Lowassa?
kipara kipya said: ipo ya sumaye,lowassa akiwa na mtuhumiwa namba moja anaeumwa ugonjwa wa saikolojia! Click to expand... Huo ugonjwa utakumaliza. Picha ya KINANA inafanana na ya Sumayi na Lowassa?
manzuki JF-Expert Member Joined Aug 21, 2017 Posts 274 Reaction score 143 Oct 6, 2017 #65 binti yupo anasherekea birthday yake
kipara kipya JF-Expert Member Joined May 2, 2016 Posts 20,141 Reaction score 24,449 Oct 6, 2017 Thread starter #66 Kilele9 said: Huo ugonjwa utakumaliza. Picha ya KINANA inafanana naya Sumayi na Lowassa? Click to expand... Wote wanasiasa
Kilele9 said: Huo ugonjwa utakumaliza. Picha ya KINANA inafanana naya Sumayi na Lowassa? Click to expand... Wote wanasiasa
kipara kipya JF-Expert Member Joined May 2, 2016 Posts 20,141 Reaction score 24,449 Oct 6, 2017 Thread starter #67 Ghafla wameumbuka fatuma amepiga mapicha na kudhihirisha hawezi kwenda kimya kimya!
kipara kipya JF-Expert Member Joined May 2, 2016 Posts 20,141 Reaction score 24,449 Oct 6, 2017 Thread starter #68 lazalaza said: Yake yooote unayajua mkuu Click to expand... Mkuu umeona fatuma ametua nairobi na mapicha kibao!
lazalaza said: Yake yooote unayajua mkuu Click to expand... Mkuu umeona fatuma ametua nairobi na mapicha kibao!
kiumbe kipya JF-Expert Member Joined Sep 30, 2016 Posts 2,831 Reaction score 1,304 Oct 6, 2017 #69 anagopa wasiojulikana au?
kipara kipya JF-Expert Member Joined May 2, 2016 Posts 20,141 Reaction score 24,449 Oct 6, 2017 Thread starter #70 kiumbe kipya said: anagopa wasiojulikana au? Click to expand... Watu wasiojulikana wanao wenyewe kuna kipindi mlinzi wa slaa aliteswa na hao hao watu wasiojulikana!
kiumbe kipya said: anagopa wasiojulikana au? Click to expand... Watu wasiojulikana wanao wenyewe kuna kipindi mlinzi wa slaa aliteswa na hao hao watu wasiojulikana!
Mtili wandu JF-Expert Member Joined Dec 15, 2012 Posts 11,094 Reaction score 16,486 Oct 7, 2017 #71 kipara kipya said: Mkuu umeona fatuma ametua nairobi na mapicha kibao! Click to expand... Aminia mhenga asante kwa kunijulisha, upo vzr salute
kipara kipya said: Mkuu umeona fatuma ametua nairobi na mapicha kibao! Click to expand... Aminia mhenga asante kwa kunijulisha, upo vzr salute