Unapenda maugomvi yasiyoisha mmeo anatabu sanaCYPRIAN MUSIBA.
Huyu mtu ametufefhehesha, kututukana, kututishia akilindwa na Magufuli na kutudhalilisha sana. Sio nyie wawili tuu bali wapenda haki wote Tanzania.
Sasa Fatma na mhe.Membe mkaamua kufuata mkondo wa sheria na haki ikapatikana sio kwenu tuu bali furaha ikawa ya wote.
Sasa hukumu haitekelezwi mko kimya, hatua hamchukui kwa nini?
Tunajua hamna njaa na pengine mnaweza kusema basi yaishe maana analialia sana. Mkumbuke hiyo hukumu haikuwa yenu bali yetu sote watetea demokrasia, hivyo hata kama hamna haja na fedha zake haramu basi malipo yatakayo patikana kwa kuuza mali zake YATUMIKE KUZIPATIA UWEZO TAASISI ZA KIDEMOKRASIA.
Au kashindwa kabisa hana mali ya kukamatwa aende JELA mpuuzi huyo.
Please, Fatma Katume na mzee wetu Bernard Membe hebu fanyeni yapaswayo, Mbinguni hawaendi eti kwa kuwasamehe watu kama Cyprian Musiba.
Wakati mwingine unaweza kumuacha adui yako ''afe kwa kihoro'' na ikawa adhabu tosha. Hakuna adhabu mbaya kama kuishi kwa wasiwasi. Huyu jamaa popote alipo atakuwa anaishi maisha yaliyojaa kihoro. Jani la mti likidondoka kwenye paa lazima asikie kubanwa haja. BTW mbona nilisikia za vijiweni kuwa alishaonyeshwa cha mtema kuni na akaambiwa hakuna kulia. Labda ni story za vijiweni.CYPRIAN MUSIBA.
Huyu mtu ametufefhehesha, kututukana, kututishia akilindwa na Magufuli na kutudhalilisha sana. Sio nyie wawili tuu bali wapenda haki wote Tanzania.
Sasa Fatma na mhe.Membe mkaamua kufuata mkondo wa sheria na haki ikapatikana sio kwenu tuu bali furaha ikawa ya wote.
Sasa hukumu haitekelezwi mko kimya, hatua hamchukui kwa nini?
Tunajua hamna njaa na pengine mnaweza kusema basi yaishe maana analialia sana. Mkumbuke hiyo hukumu haikuwa yenu bali yetu sote watetea demokrasia, hivyo hata kama hamna haja na fedha zake haramu basi malipo yatakayo patikana kwa kuuza mali zake YATUMIKE KUZIPATIA UWEZO TAASISI ZA KIDEMOKRASIA.
Au kashindwa kabisa hana mali ya kukamatwa aende JELA mpuuzi huyo.
Please, Fatma Katume na mzee wetu Bernard Membe hebu fanyeni yapaswayo, Mbinguni hawaendi eti kwa kuwasamehe watu kama Cyprian Musiba.
binti sidhani kama unamme na kama unaye anakazi kubwa ndani una ghubu isiyoishaCYPRIAN MUSIBA.
Huyu mtu ametufefhehesha, kututukana, kututishia akilindwa na Magufuli na kutudhalilisha sana. Sio nyie wawili tuu bali wapenda haki wote Tanzania.
Sasa Fatma na mhe.Membe mkaamua kufuata mkondo wa sheria na haki ikapatikana sio kwenu tuu bali furaha ikawa ya wote.
Sasa hukumu haitekelezwi mko kimya, hatua hamchukui kwa nini?
Tunajua hamna njaa na pengine mnaweza kusema basi yaishe maana analialia sana. Mkumbuke hiyo hukumu haikuwa yenu bali yetu sote watetea demokrasia, hivyo hata kama hamna haja na fedha zake haramu basi malipo yatakayo patikana kwa kuuza mali zake YATUMIKE KUZIPATIA UWEZO TAASISI ZA KIDEMOKRASIA.
Au kashindwa kabisa hana mali ya kukamatwa aende JELA mpuuzi huyo.
Please, Fatma Katume na mzee wetu Bernard Membe hebu fanyeni yapaswayo, Mbinguni hawaendi eti kwa kuwasamehe watu kama Cyprian Musiba.
Yaani Membe amsamehe Musiba? Labda Shangazi.Utu uzima ni busara inawezekana wamemkaushia tu bado vijana Alina Musiba Wana mengi ya kujifunza ingawa zile kunguni alizokua anawasagia wenzie zilikua zinatisha.
Sijui kisirani Cha home boy ila yote yanawezekana pia.Yaani Membe amsamehe Musiba? Labda Shangazi.
Shangazi ndio alidhalilishwa kuliko hata MembeYaani Membe amsamehe Musiba? Labda Shangazi.
Musiba alikuwa 'barking dog' akitumiwa tu kubweka, muhimu ilikuwa kushughulika na mwenye mbwa.CYPRIAN MUSIBA.
Huyu mtu ametufefhehesha, kututukana, kututishia akilindwa na Magufuli na kutudhalilisha sana. Sio nyie wawili tuu bali wapenda haki wote Tanzania.
Sasa Fatma na mhe.Membe mkaamua kufuata mkondo wa sheria na haki ikapatikana sio kwenu tuu bali furaha ikawa ya wote.
Sasa hukumu haitekelezwi mko kimya, hatua hamchukui kwa nini?
Tunajua hamna njaa na pengine mnaweza kusema basi yaishe maana analialia sana. Mkumbuke hiyo hukumu haikuwa yenu bali yetu sote watetea demokrasia, hivyo hata kama hamna haja na fedha zake haramu basi malipo yatakayo patikana kwa kuuza mali zake YATUMIKE KUZIPATIA UWEZO TAASISI ZA KIDEMOKRASIA.
Au kashindwa kabisa hana mali ya kukamatwa aende JELA mpuuzi huyo.
Please, Fatma Katume na mzee wetu Bernard Membe hebu fanyeni yapaswayo, Mbinguni hawaendi eti kwa kuwasamehe watu kama Cyprian Musiba.
🤣🤣🤣🤣CYPRIAN MUSIBA.

Shoga yeyote awaye,huwa anakuwa na Roho ya visasi kama wewe Chakazwa!CYPRIAN MUSIBA.
Huyu mtu ametufefhehesha, kututukana, kututishia akilindwa na Magufuli na kutudhalilisha sana. Sio nyie wawili tuu bali wapenda haki wote Tanzania.
Sasa Fatma na mhe.Membe mkaamua kufuata mkondo wa sheria na haki ikapatikana sio kwenu tuu bali furaha ikawa ya wote.
Sasa hukumu haitekelezwi mko kimya, hatua hamchukui kwa nini?
Tunajua hamna njaa na pengine mnaweza kusema basi yaishe maana analialia sana. Mkumbuke hiyo hukumu haikuwa yenu bali yetu sote watetea demokrasia, hivyo hata kama hamna haja na fedha zake haramu basi malipo yatakayo patikana kwa kuuza mali zake YATUMIKE KUZIPATIA UWEZO TAASISI ZA KIDEMOKRASIA.
Au kashindwa kabisa hana mali ya kukamatwa aende JELA mpuuzi huyo.
Please, Fatma Katume na mzee wetu Bernard Membe hebu fanyeni yapaswayo, Mbinguni hawaendi eti kwa kuwasamehe watu kama Cyprian Musiba.
Kwa muktadha huo; Kiroho = kihoroWakati mwingine unaweza kumuacha adui yako ''afe kwa kiroho'' na ikawa adhabu tosha. Hakuna adhabu mbaya kama kuishi kwa wasiwasi. Huyu jamaa popote alipo atakuwa anaishi maisha yaliyojaa kiroho. Jani la mti likidondoka kwenye paa lazima asikie kubanwa haja. BTW mbona nilisikia za vijiweni kuwa alishaonyeshwa cha mtema kuni na akaambiwa hakuna kulia. Labda ni story za vijiweni.
UKWELI wasipomchukulia HATUA MUSIBA itakuwa ni kuichezea Mahakama na Wote Waliohusika mpaka HUKUMU IKATOLEWA huyu MUSIBA Lazima ATEKELEZE ADHABU aliyopewa ili iwe FUNDISHO kwa WAJINGA na WAPUMBAVU wa AINA yake.CYPRIAN MUSIBA.
Huyu mtu ametufefhehesha, kututukana, kututishia akilindwa na Magufuli na kutudhalilisha sana. Sio nyie wawili tuu bali wapenda haki wote Tanzania.
Sasa Fatma na mhe.Membe mkaamua kufuata mkondo wa sheria na haki ikapatikana sio kwenu tuu bali furaha ikawa ya wote.
Sasa hukumu haitekelezwi mko kimya, hatua hamchukui kwa nini?
Tunajua hamna njaa na pengine mnaweza kusema basi yaishe maana analialia sana. Mkumbuke hiyo hukumu haikuwa yenu bali yetu sote watetea demokrasia, hivyo hata kama hamna haja na fedha zake haramu basi malipo yatakayo patikana kwa kuuza mali zake YATUMIKE KUZIPATIA UWEZO TAASISI ZA KIDEMOKRASIA.
Au kashindwa kabisa hana mali ya kukamatwa aende JELA mpuuzi huyo.
Please, Fatma Katume na mzee wetu Bernard Membe hebu fanyeni yapaswayo, Mbinguni hawaendi eti kwa kuwasamehe watu kama Cyprian Musiba.
Wewe wala hujui kinachoendelea nyamaza tu. Lissu alivyoanza kumtukana magufuli kwamba nchi hii haijawahi kua na rais wa ovyo kama yeye ulifikiri kamtukana yeye tu au wote tuliyomchagua kwa kura zetu? Na je hakukitukana chama cha ccm kilichomsimamisha kama mgombea?CYPRIAN MUSIBA.
Huyu mtu ametufefhehesha, kututukana, kututishia akilindwa na Magufuli na kutudhalilisha sana. Sio nyie wawili tuu bali wapenda haki wote Tanzania.
Sasa Fatma na mhe.Membe wemkaamua kufuata mkondo wa sheria na haki ikapatikana sio kwenu tuu bali furaha ikawa ya wote.