Fatma Karume: Kwa mujibu wa Katiba, ibara ya 138(1),Rais hana mamlaka ya kutuamlia kodi hata kama anaipunguza

Hatoki Leo wala kesho mfalme wa milele
Katiba halali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania iko likizo hadi Jiwe atapoondoka madarakani.

Tuko kwenye kipindi cha mpito kwa miaka 2 hadi 7 ijayo....tujifunze kuishi bila katiba kwa kipindi hiki.
 
Na hana mamlaka ya kutengeneza vitambulisho vya wafanyabiashara wadogowadogo, ni jukumu la halmashauri.
Anataka tu auze vitambulisho 25000 kila mkoa apate hela ya kuwapa wapambe msimu wa krismasi.
 
you cannot stop every barking dog!
Queen Esther
umeulizwa swali ujibu...
wawe hayo unayosema umetoa wapi kama si kwenye makalio yako?
umepewa kifungu cha katiba.. sasa na wewe toa kwenye katiba sehem yoyote inayoruhusu jiwe kuvunja ratiba
 
Hatoki Leo wala kesho mfalme wa milele


Kwa kasi hii ya kununua wabunge ni dalili tosha kuwa atahitaji aungwe mkono na idadi kubwa ya wabunge (in percentage) ili atawale mpaka afie hapo.

Hii nadhani pia inachangiwa na ukimya wa watangulizi wake na ambao nao madhambi yao wakiwa ikulu yanawafanya waufyate ili wasiguswe kimaslahi.

Yajayo yanatisha wakuu.
 
Back
Top Bottom