Semistocles
JF-Expert Member
- Jul 2, 2016
- 1,932
- 1,126
UKIJIUA UNALETA MADHARA KWA WANAOKUTEGEMEA.Kwa mantiki hiyo,hata adhabu za makosa ya kujaribu kujiua kwa hiari inabidi zifutwe mkuu?
OkaySijakuita foolish nimeiita hyo "qoute" ndo u foolish wenyewe. Kwani nimekwambia wewe mkuuu jamani
Una-uhakika mimi sijui sheria....! Kumbuka kuna tofauti ya kujua sheria na kufanya kazi zinazohusiana na mambo ya kisheria.Atimuliwe kwa kosa gani?
Naamini waasheria wenzake wanamuelewa kuliko mimi na wewe tusiojua sheria yoyote.
UKIJIUA UNALETA MADHARA KWA WANAOKUTEGEMEA.
LAKINI MTU AKIAMUA KUWA SHOGA HALETI MADHARA HALISI KWA MTU MWINGINE.
MADHARA HALISI. (yanayoonekana na kushikika)Mkuu,hivi kwa mfano kijana akagundua dingi yake,au mke akagundua mumewe anavurugwa mbolea mtaani,haitamletea madhara hasa ya kisaikoloji?au wewe umelenga madhara yapi mkuu?
Na hao jee waliotunga sheria?kutuingiza katika mikataba ya kishoga????Once again stupid lawyer ever in Tanzania.. Sijui wapumbavu gani walimchagua kuiendesha TLS.
Ni sawa kama unaijua sheria vizuri mimi siijui ila natambua haki ya kila mwanadamu haijalishi ulemavu wowote alionao.Una-uhakika mimi sijui sheria....! Kumbuka kuna tofauti ya kujua sheria na kufanya kazi zinazohusiana na mambo ya kisheria.
Are u sure???? Mkuu unafikra fupi sana, jamii inaplay part kubwa kushape tabia za watoto, tukifumbia macho ufuska kama huo tutakuja kuw na generation ya kifuska, if u dont see this kama madhara unamatatizo.UKIJIUA UNALETA MADHARA KWA WANAOKUTEGEMEA.
LAKINI MTU AKIAMUA KUWA SHOGA HALETI MADHARA HALISI KWA MTU MWINGINE.
HAUJATAJA MADHARA.Are u sure???? Mkuu unafikra fupi sana, jamii inaplay part kubwa kushape tabia za watoto, tukifumbia macho ufuska kama huo tutakuja kuw na generation ya kifuska, if u dont see this kama madhara unamatatizo.
Stupid indeed! matatizo ya kufanya mambo kwa mihemko bila kushirikisha akili, elimu wala nafasi aliyonayo,,Once again stupid lawyer ever in Tanzania.. Sijui wapumbavu gani walimchagua kuiendesha TLS.
ndio maana nakwambia uwezo wako wa kufikiria ni mdogo..HAUJATAJA MADHARA.
Nieleweshe wewe ambaye hujamwelewa.Hu
j
Hujamwelewa
TAJA MADHARA WACHA MBOYOYO!ndio maana nakwambia uwezo wako wa kufikiria ni mdogo..
Hahaha!-Dammit you nailed it!
Hapo ulipo kama Canteen wanapokea Tigo rusha,
Kula lunch mwaambie Mtu wa kaunta alete Bill kwangu:
+255 714 59 15 48.
Neno la Siri ID yako.
#dalalitz
Yesu asingesapoti huu ujinga. Hata sumaku likely poles zinakwepana.