Fatma Dewji ampa Kagere milioni 50 kwa kuifunga Azam, naye aigawa kwa timu

OKW BOBAN SUNZU

Platinum Member
Aug 24, 2011
49,191
103,715
Fatma Dewji Ametimiza Ahadi Yake Leo Waliowekeana Na Mshambuliaji Wa Simba Kuwa Endapo Angewatungua Azam Fc Angepewa Zawadi Ya 50M.

Ahadi Hiyo Ilikuwa Ya Siri Kati Yake Na Kagere Walipo Kuwa Wanabishana Huku Yeye Akimwambia Unazionea Timu Ndogo Na Kagere Akamwambia Nichagulie Timu Unayoiona Ni Kubwa Hapa Tanzania Na Fatma Akaichagua Azam Fc Na Kumwambia Endapo Angefunga Goli Mbele Ya Yakubu Na Amoh Angempa 50M.

Leo Amemkabidhi Na Kumkubali Kuwa Hakika Kagere Ni Mshambuliaji Wa Kuigwa.Kagere Ameichukua Pesa Hiyo Na Kumpelekea Nahodha Wa Simba John Bocco Awagawie Wachezaji Wote Sawa Kwani Walifundishwa Kupendana Na Kushirikiana Ndani Ya Club.Kumbuka Kuwa Fatma Dwji Ni Dada Yake Na Mohammd Dewji Pia Ni Boss Wa Kampuni Ya Mo extra Iliyoingia Mkataba Na Simba Wa Mwaka Mmoja Wenye Thamani Ya Tsh.250M.

My Take
Fatma usiweke ahadi kama hizi kwa timu mbovu Yanga,watakuja kufungwa goli 8 nchi iingie kwenye aibu
 
Azam ni timu ndogo na tawi la Simba, timu kubwa inawakilisha nchi kimataifa. Timu kubwa pekee iliyocheza na Simba ni UD SONGO
 
My Take
Fatma usiweke ahadi kama hizi kwa timu mbovu Yanga,watakuja kufungwa goli 8 nchi iingie kwenye aibu
Fatma Dewji Ametimiza Ahadi Yake Leo Waliowekeana Na Mshambuliaji Wa Simba Kuwa Endapo Angewatungua Azam Fc Angepewa Zawadi Ya 50M.

Ahadi Hiyo Ilikuwa Ya Siri Kati Yake Na Kagere Walipo Kuwa Wanabishana Huku Yeye Akimwambia Unazionea Timu Ndogo Na Kagere Akamwambia Nichagulie Timu Unayoiona Ni Kubwa Hapa Tanzania Na Fatma Akaichagua Azam Fc Na Kumwambia Endapo Angefunga Goli Mbele Ya Yakubu Na Amoh Angempa 50M.

Leo Amemkabidhi Na Kumkubali Kuwa Hakika Kagere Ni Mshambuliaji Wa Kuigwa.Kagere Ameichukua Pesa Hiyo Na Kumpelekea Nahodha Wa Simba John Bocco Awagawie Wachezaji Wote Sawa Kwani Walifundishwa Kupendana Na Kushirikiana Ndani Ya Club.Kumbuka Kuwa Fatma Dwji Ni Dada Yake Na Mohammd Dewji Pia Ni Boss Wa Kampuni Ya Mo extra Iliyoingia Mkataba Na Simba Wa Mwaka Mmoja Wenye Thamani Ya Tsh.250M.

My Take
Fatma usiweke ahadi kama hizi kwa timu mbovu Yanga,watakuja kufungwa goli 8 nchi iingie kwenye aibu
Nauza yanga mbovu na chuma chakavu
 
Udhamini kwa mwaka timu nzima milion 250, halafu goli moja anapewa milioni hamsini.

Huo mkabata mbona unaonekana wa kinyonyaji sana au alijisainisha Mo mwenyewe.
Yanga mkataba wa taifa gas mlipewa shilingi ngapi???..maana usiseme wenzio wananyonywa wakati wewe timu yako imeingia mkataba na hujui hata ni shilingi ngapi wajanja wamezipiga juu kwa juu...wanaonyonywa wameingia mkataba wa mil 250..nyi msionyonywa mmeingia mkataba wa shilingi ngapi???
 
Fatma Dewji Ametimiza Ahadi Yake Leo Waliowekeana Na Mshambuliaji Wa Simba Kuwa Endapo Angewatungua Azam Fc Angepewa Zawadi Ya 50M.

Ahadi Hiyo Ilikuwa Ya Siri Kati Yake Na Kagere Walipo Kuwa Wanabishana Huku Yeye Akimwambia Unazionea Timu Ndogo Na Kagere Akamwambia Nichagulie Timu Unayoiona Ni Kubwa Hapa Tanzania Na Fatma Akaichagua Azam Fc Na Kumwambia Endapo Angefunga Goli Mbele Ya Yakubu Na Amoh Angempa 50M.

Leo Amemkabidhi Na Kumkubali Kuwa Hakika Kagere Ni Mshambuliaji Wa Kuigwa.Kagere Ameichukua Pesa Hiyo Na Kumpelekea Nahodha Wa Simba John Bocco Awagawie Wachezaji Wote Sawa Kwani Walifundishwa Kupendana Na Kushirikiana Ndani Ya Club.Kumbuka Kuwa Fatma Dwji Ni Dada Yake Na Mohammd Dewji Pia Ni Boss Wa Kampuni Ya Mo extra Iliyoingia Mkataba Na Simba Wa Mwaka Mmoja Wenye Thamani Ya Tsh.250M.

My Take
Fatma usiweke ahadi kama hizi kwa timu mbovu Yanga,watakuja kufungwa goli 8 nchi iingie kwenye aibu
Kama wangewekeana ahadi dhidi ya UD Songo msingekua mnagalagala mchangani.
 
Back
Top Bottom