kagamba kadogo
Senior Member
- Apr 24, 2011
- 178
- 19
We unafikiri ni kwanini?Nimeshangazwa leo na uwezo wa kazi wa Fatma Almas. Leo ameshindwa kabisa kuelezea kwanini rwanda mfumuko wake ni mdogo kuliko tanzania, kenya na uganda. Nadhani waandishi wa tanzania naona hawajui kitu na kusoma hawataki.. Nadhani knowledge yake kidogo kwenye business reporting. Godwin Gondwe kamtega vizuri....... Akaanza oh mfumuko wa bei ntawauliza wataalamu maana yake oh oh oh!!!!!
Una data?....central banks zinaonyesha rwanda 7.5% na tanzania 8.6%,lakini unavyosound utafikiri rwanda ni 2% na tanzania ni 32%....like it's so clear as to why rwandas inflation is lower,to me it's just the same + or - 10% (bearing in mind our obsolete data collection methods and negleting the predominant informal sector).wako mil 9 tu population, chakula kwa wingi,wao mafuta tu ndo yana shake price movement....anyway...bado?
wako vizuri. Of course nipe mail yako ntakupa concept. Isije ikawa una thesis unataka materials
wako mil 9 tu population, chakula kwa wingi,wao mafuta tu ndo yana shake price movement....anyway...bado?
Through law of one price; Tofauti ya bei za bei Rwanda na Tanzania au East Africa hazitarajiwi kuwa kubwa. Ndio maana ukipita hata kwenye pump zao za mafuta utaona tofauti ni negligible. Pia ukiangalia population ya Rwanda Vs eneo la nchi ambayo inakadiriwa ni mil 10, GNI per capital ambayo ni 400-500. Utaona hakuna jipya, tuache kusifia tusiyoyafaham.sema tu CPI yetu wanaangalia sana chakula, mafuta lakini ingeconsider vitu kama kodi za nyumba na private consumptions basi inflation ingekuwa kubwa zaidi ya hapo. Na jamaa wa takwimu ametoa alert vilevile. Kama angemsikia vizuri basi swali la gondwe ingekuwa rahisi sana
Nimeshangazwa leo na uwezo wa kazi wa Fatma Almas. Leo ameshindwa kabisa kuelezea kwanini rwanda mfumuko wake ni mdogo kuliko tanzania, kenya na uganda. Nadhani waandishi wa tanzania naona hawajui kitu na kusoma hawataki.. Nadhani knowledge yake kidogo kwenye business reporting. Godwin Gondwe kamtega vizuri....... Akaanza oh mfumuko wa bei ntawauliza wataalamu maana yake oh oh oh!!!!!
We unafikiri ni kwanini?
wewe habari za uchumi na biashara umevamia kwa pupa sn. Hebu tulia kidogo maana unalazimisha ili iwe kisiasasiasa. Hizi story za mtaani ziweke kando kama unataka kujadili kiukweli. Unapewa statistics unaleta story!unaweza kuwa na capita ya 2000 usd kwa mwaka lakini maisha mabovu. Hiyo 400 ina thamani sana kwa raia wa rwanda kushinda 700 ya TZ. Presenter lazima uji brush na ma report ya uchumi utayajua na utakuwa na confidence. Pale alibabaika