Video inapotosha uhalisia kwani imetumiwa katika muktadha tofauti na uhalisia wake.
Ufuatiliaji wa JamiiCheck umejiridhisha video hiyo si ya mwaka 2026 bali ilikuwa ni mahojiano ya Mwezi Disemba 01, 2025 aliyofanya Padre Kitima na Jambo TV ambayo pia yalichapishwa katika chaneli ya TEC YouTube.
Zaidi soma POTOSHI - Kitima amshukia vikali Nchimbi, anaigiza na kutudanganya. Je, kuna ukweli hapa?
Hawa viongozi wa dini ukiwatazama kama hawapohawapo hivi lakini kichwani ni zaidi ya wanasiasa.Huyu jamaa ni smart ..ila kitendo cha kuwa padri ameshusha usmart wote chini...hivi mwanaume kamili unawezaje kuishi usidinge?..yaani your whole life without sex by just a word from your fellow man...hapana kwakweli mbona slaa yeye alikataa ..slaa ni smart sana
Wee mtu; Una macho-unaona lakini bado huoni na ndipo unapouliza eti mwanaume kamili unawezaje kuishi..........Huyu jamaa ni smart ..ila kitendo cha kuwa padri ameshusha usmart wote chini...hivi mwanaume kamili unawezaje kuishi usidinge?..yaani your whole life without sex by just a word from your fellow man...hapana kwakweli mbona slaa yeye alikataa ..slaa ni smart sana
Huyu jamaa ni smart ..ila kitendo cha kuwa padri ameshusha usmart wote chini...hivi mwanaume kamili unawezaje kuishi usidinge?..yaani your whole life without sex by just a word from your fellow man...hapana kwakweli mbona slaa yeye alikataa ..slaa ni smart sana
Mkuu Iyerdoy, Umezungumza ukweli mchungu na wa kiakili sana ambao mdau IKEKERA anashindwa kuuelewa kwa sababu ya kukariri maisha.Wee mtu; Una macho-unaona lakini bado huoni na ndipo unapouliza eti mwanaume kamili unawezaje kuishi..........
Mbona anayeongea hapo kwenye clip ni mmoja wapo?? Unatakaje?
Katiba Mpya na mambo ya tume au vyombo vya usalama wapi na wapi?Aisee hawa watu wapi mbele sana kwa intelejensia ya uhakika.
Hawanaga kuficha ficha wala uchawa wao ni straight.
hata padri mlevi zaidi, mchochezi, muongo, mwenye chuki binafsi zaidi na mpenda ngono sana, anapatikana Tanzania tu tena ni ndani ya kanisa katolikiAisee hawa watu wapi mbele sana kwa intelejensia ya uhakika.
Hawanaga kuficha ficha wala uchawa wao ni straight.
Huyo atakuwa mtu wa pwaniMkuu Iyerdoy, Umezungumza ukweli mchungu na wa kiakili sana ambao mdau IKEKERA anashindwa kuuelewa kwa sababu ya kukariri maisha.
Uko sahihi kabisa mkuu; tatizo kubwa hapa ni kuamini kwamba uanaume au akili ya mtu inapimwa kwa mambo ya chini ya kitovu pekee. Ana macho lakini hataki kuona ukweli ulio wazi kabisa kwenye hiyo clip. Kama ulivyosema, uwepo wa mtu mahiri kama Fr. Dr. Charles Kitima hapo jukwaani ni ushahidi tosha kabisa kwamba unaweza kuwa mwanaume kamili, mwenye akili kubwa sana (PhD), na ukaishi maisha ya useja kwa nidhamu ya hali ya juu sana bila kuyumbishwa.
Umetumia busara kubwa sana kumstua. Niliona pia niongezee nyama kwenye hoja yako ili kumfungua macho zaidi. Pamoja sana mkuu kwa hoja hii thabiti!
Wewe unaabudu Ngono. Ni maamuzi yako.Huyu jamaa ni smart ..ila kitendo cha kuwa padri ameshusha usmart wote chini...hivi mwanaume kamili unawezaje kuishi usidinge?..yaani your whole life without sex by just a word from your fellow man...hapana kwakweli mbona slaa yeye alikataa ..slaa ni smart sana
Huyu kada wa CHADEMA aliyevaa vazi la upadre ni wa kumpuuza.Aisee hawa watu wapi mbele sana kwa intelejensia ya uhakika.
Hawanaga kuficha ficha wala uchawa wao ni straight.
sahihiHuyu kada wa CHADEMA aliyevaa vazi la upadre ni wa kumpuuza.
Akili yako yote inawaza ngono tu!! Baadala ya kutafakari mawazo yake kama ni chanya.Huyu jamaa ni smart ..ila kitendo cha kuwa padri ameshusha usmart wote chini...hivi mwanaume kamili unawezaje kuishi usidinge?..yaani your whole life without sex by just a word from your fellow man...hapana kwakweli mbona slaa yeye alikataa ..slaa ni smart sana
mwanaume kamili unawezaje kuishi usidinge?.Huyu jamaa ni smart ..ila kitendo cha kuwa padri ameshusha usmart wote chini...hivi mwanaume kamili unawezaje kuishi usidinge?..yaani your whole life without sex by just a word from your fellow man...hapana kwakweli mbona slaa yeye alikataa ..slaa ni smart sana
Unawezaje kumpuuza mtu ambaye ukichanganya akili za ukoo wenu, changanya na huyo uliyechagua kuwa handle yako ya JamiiForums, hamfikii hata asilimia 10 ya akili za Fr. Dr. Charles Kitima (PhD)?Huyu kada wa CHADEMA aliyevaa vazi la upadre ni wa kumpuuza.
Huyu padri tangu ndugu yake lisu awekwe ndani amekuwa zumbukukukuAisee hawa watu wapi mbele sana kwa intelejensia ya uhakika.
Hawanaga kuficha ficha wala uchawa wao ni straight.
Sawa Mrs Kitima.Unawezaje kumpuuza mtu ambaye ukichanganya akili za ukoo wenu, changanya na huyo uliyechagua kuwa handle yako ya JamiiForums, hamfikii hata asilimia 10 ya akili za Fr. Dr. Charles Kitima (PhD)?
Hongera sana kwa kuonyesha jinsi akili yako ilivyohama rasmi kichwani na kuhamia tumboni kwa ajili ya kusaka tonge. Ni maajabu ya karne kumwona chawa anayeishi kwa kusifia akijaribu kupima akili ya Fr. Dr. Charles Kitima (PhD). Ukweli ni kwamba, uwezo wa kiakili wa Kitima ni mkubwa mno; hata ukichukua akili za ukoo wenu wote tangu kuumbwa kwa ulimwengu, ukachanganya na akili za huyo uliyechagua jina lake liwe handle yako ya MamaSamia2025, bado hamfikii hata asilimia 10 ya akili za Kitima. Tafuta kazi ya kufanya, kusifu kila kitu kwa ajili ya makombo ya mezani kunakuharibia utu wako.