FastJet wanaelekea ukingoni?

FastJet wanaelekea ukingoni?

Kwani inakuwaje pilot anapodai habebi begi hata moja, mabegi hayo yana safirishwa kwa gharama za abiria au kampuni?make tusije tiana umasikini bure bure

Walisema begi zote zingefuata na ndege nyingine ya usiku hivyo abiria wote wangezipata kesho yake. Ila sasa kukawa na shughuli maana kulikuwa na abiria ambao walikuwa wanaenda Nairobi kupitia Kilimanjaro na Arusha. Nadhani waliwaambia watazipeleka begi zao moja kwa moja Nairobi.
 
Back
Top Bottom