Fastjet Tanzania Posts Record 6-month Losses - $8.9 Million

kennedy0000

JF-Expert Member
Apr 14, 2012
4,316
3,683
This is the state of Tanzania air travel.
Fastjet Tanzania, an airline with a fleet of just 4, has posted losses since it was founded.
Since 2012, it has posted cumulative losses of over $120 million.

It is now planning to exit Tanzania by selling off their operations, but I doubt they will find any buyer.
In the first 6 months of this year, they made a loss of $8.9 million.

It's sad because they have been operating small, economical planes. Meaning Air Tanzania operating its dreamliner locally will definitely go bankrupt.

Remember ATCL has also made losses since it was founded. With 10 times less planes, they have been making losses almost as big as KQ.
Meaning as they continue to enlarge their fleet, we can expect ATCL to continue bankrupting the already broke Tanzanian government.

https://www.theeastafrican.co.ke/bu...ps-competition/2560-4857074-quvh5p/index.html
 
This is the state of Tanzania air travel.
Fastjet Tanzania, an airline with a fleet of just 4, has posted losses since it was founded.
Since 2012, it has posted cumulative losses of over $120 million.

It is now planning to exit Tanzania by selling off their operations, but I doubt they will find any buyer.
In the first 6 months of this year, they made a loss of $8.9 million.

It's sad because they have been operating small, economical planes. Meaning Air Tanzania operating its dreamliner locally will definitely go bankrupt.

Remember ATCL has also made losses since it was founded. With 10 times less planes, they have been making losses almost as big as KQ.
Meaning as they continue to enlarge their fleet, we can expect ATCL to continue bankrupting the already broke Tanzanian government.

Fastjet running on fumes after Air Tanzania ups competition

Air Tanzania losses down as it starts East Africa flights
 
Fast jet na Precission hawatouweza mziki wa Air Tanzania. Wawekezaji wao juzi kati tulikuwa tunaongea wakitupa lawana la shirika lao kwa ATCL na serikali ya TZ. Wanadai wamenyimwa route ya Kigoma. Nimewambia serikali nilazima ilinde shirika lake. ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚ Wanatapatapa sio mchezo. Wamekuwa wakiendesha hilo shirika kiuni sana. They had very poor services and we had no choice.
 
Lol. Fastjet has been making losses since it was founded.
Air Tanzania has also been making losses since it was founded.

The problem is therefore the low number of people who can afford flying in an LDC.
 
Kama walikuwa na losses. Basi kwa sasa ni zaidi. They have to exist the market and let ATCL play the role. Thats what we have been wanting. We want to monopolise the market, especially the local market. Next ni precission.
 
You're only monopolizing losses.
ATCL will absorb the losses of Fastjet and Precision.
Tanzanian market is not big or rich enough to sustain an airline.
 
Ingekuwa awamu zile wangewahonga wafanyakazi wa air tz wakahujumu na kuliua shirika letu. Lakini awahi hii weeeeee
Huo mchezo wameufanya sana๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚Hawamu hii lazima ile kwako
 
You're only monopolizing losses.
ATCL will absorb the losses of Fastjet and Precision.
Tanzanian market is not big or rich enough to sustain an airline.
๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚ Nakuona unavyo quote kwa maumivu๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚Fatilia graph ya ATCL kama inapanda au inashuka
 
If fastjet will exit the market..the number of local people using flights will drop tremendous.Fastjet was nearly cheap.
 
Fast jet na Precission hawatouweza mziki wa Air Tanzania. Wawekezaji wao juzi kati tulikuwa tunaongea wakitupa lawana la shirika lao kwa ATCL na serikali ya TZ. Wanadai wamenyimwa route ya Kigoma. Nimewambia serikali nilazima ilinde shirika lake. ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚ Wanatapatapa sio mchezo. Wamekuwa wakiendesha hilo shirika kiuni sana. They had very poor services and we had no choice.
Siyo rahisi wao kuonyesha profit, wataweka big expenses kumeza profit yote, siku ya siku hakuna 30% corporate tax. That is how these white folks they do business in our motherland.
 
๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚ Nakuona unavyo quote kwa maumivu๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚Fatilia graph ya ATCL kama inapanda au inashuka

Kwanza unafaa ujue hasara za airlines huletwa na nini in the first place.
Mafuta na maintenance ya ndege kubwa iko top of the list.
Hio dreamliner mlinunua inafaa ijazwe kwa kila safari, na safari yenyewe iwe ya mbali.

La sivyo, inatengeneza hasara kwa kila flight.
 
Siyo rahisi wao kuonyesha profit, wataweka big expenses kumeza profit yote, siku ya siku hakuna 30% corporate tax. That is how these white folks they do business in our motherland.
Hilo sikutaka kumwambia kennedy 0000 kwa sababu uwela wake mdogo sana. Mimi napoanzia kufikili yeye ndipo anishia๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
 
mulisaaa unaijua biashara ya ndege wewe ama unaongea ushabiki?
Mkuu mimi nilikuwa na wawekeza wahiyo fastjet. Kinachowakabili kwa sasa ni vibali vyakupata route mpya. ATCL price pia ipo chini. Hawa jamaa hawawezi compete hata kidogo. Tatizo kuu kwao kwa sasa ni ATCL
 
Kwanza unafaa ujue hasara za airlines huletwa na nini in the first place.
Mafuta na maintenance ya ndege kubwa iko top of the list.
Hio dreamliner mlinunua inafaa ijazwe kwa kila safari, na safari yenyewe iwe ya mbali.

La sivyo, inatengeneza hasara kwa kila flight.
Nani kasema dreamliner kwa sasa inafanya kazi za local routes. Ile ilikuwa testing mkuu. Kwa sasa inasubili route za India, Malaysia na China.๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
 
Naona wengi hamjui kinachoendelea, Fastjet Plc imeuza share zake kwa shareholders watanzania chini ya ndugu Lawrence Masha, last week walikua Jhb kukamilisha mambo.

Kwa hio Fastjet Tanzania itaendelea chini ya wamiliki wazawa na wamepledge kushirikiana na ATCL ktk soko la ndani na near abroad...
 
Nani kasema dreamliner kwa sasa inafanya kazi za local routes. Ile ilikuwa testing mkuu. Kwa sasa inasubili route za India, Malaysia na China.๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚

Dreamliner inaruka kwenda Mwanza trip ya jioni, just reminding!
 
Back
Top Bottom