chitambikwa
JF-Expert Member
- Nov 8, 2010
- 3,941
- 903
pamoja na wenginee kuiita eti ni daladala na kuona haistahili utoke kwenye ndenge upande daladala kuelekea nyumbani (wale wa dsm),
wafanyabiashara wengi Tanzania wamezoea kuweka bei bila kujali hali ya soko,mfano kila siku bei zinapandishwa kwa visingizio vya thamani ya dola kupanda,siku thamani ya dola ikishuka hapa tanzania hakuna mfanyabiashara anayeshusha bei .!!!!,hili ni fundisho kwa wafanyabiashara kupanga bei kwa kuangalia hali halisi ya maisha ya wananchi.
wako serious ulidhani utani?hawa ni waingereza bwana!Pamoja na wenginee kuiita eti ni daladala na kuona haistahili utoke kwenye ndenge upande daladala kuelekea Nyumbani (wale wa DSM), sasa nimeamini FastJet wamezamilia na kama kutakuwa hakuna mizengwe(kawaida tanzania) basi huu ndo ukombozi wa kweli kwenye sekta ya usafiri.
Soma na sikia Hapa BBC News - Fast Track - Low cost airlines mark new chapter in African aviation
Kimsingi najua FastJet wanapigwa vita sana, mpaka tume ya ushindani nimesikia kuwa wamelalamikiwa huko kwa bei zao chee. Halafu kitu kimoja labda na wengine hawajastukia, mi naona Precision wana bei ya ajabu mno, wanafanya usafiri wa ndege uonekane anasa, wakati ni basic need. Kukaa Arusha mpaka Dar huwa kunnichosha, sina kitu cha kushangaa shangaa njiani zaidi ya bongo movie, ambayo hata si mpoenzi wake.
Wabongo wataendelea kusema na kuchonga maneno, lakini mi naona nimeshapata usafiri wa uhakika, na kamia ni mzigo kilo nyingi, nitautuma tu na DHL tukutane mbele kwa mbele, then mi nispend lisaa limoja na nusu tu angani. got matters to attend to. Viva FastJet. Ila rekebisheni ofisi yenu ya booking Arusha, imekaa kushoto naona.
yeyote aliyewahi kuwaza au kusema hii maneno nakiri wazi huyu ni maskini wa akili na asipiangalia atakufa maskini .
Binafsi niliambiwa maneno hayo tena JKNIA , na nilishangaa. Lakini naona ukitaka kuwaibia watu chukua kitu kilekile weka bei tofauti moja kubwa sana na nyingine inayostahili kama wahindi wa tz wafanyavyo alafu utaona