FastJet is way too expensive

FastJet is way too expensive

Uswe

JF-Expert Member
Joined
Nov 1, 2010
Posts
2,204
Reaction score
627
Kabla kuja nafuu, wote tulitumia PW pale linapokuja swala la usafiri wa anga kwa ndani (domestic flights)

Ilipokuja nafuu wengi, pamoja na kwamba zile ticket za 32k walikuwa wanazipigia kelele zilikua hazipatikani kihivyo, maana zilikua ni chache sana, ilibidi ufanye booking labda 2 weeks or 3 weeks ahead ili kuzipata, hata hivyo bei zao, ukilinganisha na PW zilikua nafuu sana, na pia kwa sababu ndege zao zote ni kubwa, wanabeba abiria wengi kwa mpigo.

mwisho wa 2013 kulikua na safari ya kilimanjaro, mie nikabook fastjet mwenzangu akabook precision, nilishangaa kuona mimi nimelipa 100k zaidi kwa return ticket.

Sasa ninaenda tena moshi, nimecheck mtandao wa FastJet kwa tarehe nayotaka kusafiri ninahitaji kulipa 176k one way wakati PW kuna ticket ya 71K.

Nimejaribu kutizama FJ, hata kama unabook miezi miwili mbele, 32 elfu haipo tena, hii ni kusema bei za FJ sasa ziko juu kama tu PW au pengine zaidi
 
Heri yako wewe unayepanda ndege, mimi hata hiyo nauli ya basi ni majanga
 
Inatokana na unafanya booking siku ngapi kabla ya safari,Fast jet wako nafuu zaidi kuliko PW,leo nilikuwa nafanya booking ya trh 28 jan Fastjet ni 130,000 return wakati PW kwa trh hiyohiyo ni USD 321.Fastjet wanakuwa ghali ukichelewa kukata na hiyo ni mashirika yote duniani na kuhusu ile ya 32 huwa ipo kama ukifanya 4-5 weeks kabla.Nimejibu kutokana na uzoefu wangu kwao kama mteja wao tu,sio kama mtu wa ndani.
 
Hiyo 32K haipo mkuu,mimi nimebook flight ya tar 20 February inaanzia 64K
 
Inatokana na unafanya booking siku ngapi kabla ya safari,Fast jet wako nafuu zaidi kuliko PW,leo nilikuwa nafanya booking ya trh 28 jan Fastjet ni 130,000 return wakati PW kwa trh hiyohiyo ni USD 321.Fastjet wanakuwa ghali ukichelewa kukata na hiyo ni mashirika yote duniani na kuhusu ile ya 32 huwa ipo kama ukifanya 4-5 weeks kabla.Nimejibu kutokana na uzoefu wangu kwao kama mteja wao tu,sio kama mtu wa ndani.

ona hizo sehemu nimeweka round, kwa tarehe 28 the cheapest you get kwenda tu ni Tsh 112,000

fj.png
 
mm nlibook toka dec tiketi ya feb six nimelipa 64k

wakati kwa PW nimebook tarehe 11th safari ya 19th, nimelipa 71.

the only disadvantage muda umekaa vibaya, lakini is much much cheaper ulilinganisha na FJ kama nimelipa huko, kwa fastjet ingebidi nililipe 176 kwa safari hiyohiyo
 
Nimefanya study Kwa fj bei zinatofautiana kutoka PC moja Na nyingine. Mfano nilifanya booking Kwa PC bei yake ilikuwa 145,200/- nilipofanya booking Kwa cm muda huo huo bei ilisoma 122,200/- Kwa hiyo pia jaribu kucheki Na mashine unayo tumia au vipi tumia Wakala
 
Inatokana na unafanya booking siku ngapi kabla ya safari,Fast jet wako nafuu zaidi kuliko PW,leo nilikuwa nafanya booking ya trh 28 jan Fastjet ni 130,000 return wakati PW kwa trh hiyohiyo ni USD 321.Fastjet wanakuwa ghali ukichelewa kukata na hiyo ni mashirika yote duniani na kuhusu ile ya 32 huwa ipo kama ukifanya 4-5 weeks kabla.Nimejibu kutokana na uzoefu wangu kwao kama mteja wao tu,sio kama mtu wa ndani.

Kwakweli fast jet sazingine wanagharama kuliko Precision. Mie nilienda kubook kwenda kia ni 325000 one way,nikasema ngoja nipite precision nikapata kwa 20000.
 
Nimefanya study Kwa fj bei zinatofautiana kutoka PC moja Na nyingine. Mfano nilifanya booking Kwa PC bei yake ilikuwa 145,200/- nilipofanya booking Kwa cm muda huo huo bei ilisoma 122,200/- Kwa hiyo pia jaribu kucheki Na mashine unayo tumia au vipi tumia Wakala

Duuuh!
 
Kabla kuja nafuu, wote tulitumia PW pale linapokuja swala la usafiri wa anga kwa ndani (domestic flights)

Ilipokuja nafuu wengi, pamoja na kwamba zile ticket za 32k walikuwa wanazipigia kelele zilikua hazipatikani kihivyo, maana zilikua ni chache sana, ilibidi ufanye booking labda 2 weeks or 3 weeks ahead ili kuzipata, hata hivyo bei zao, ukilinganisha na PW zilikua nafuu sana, na pia kwa sababu ndege zao zote ni kubwa, wanabeba abiria wengi kwa mpigo.

mwisho wa 2013 kulikua na safari ya kilimanjaro, mie nikabook fastjet mwenzangu akabook precision, nilishangaa kuona mimi nimelipa 100k zaidi kwa return ticket.

Sasa ninaenda tena moshi, nimecheck mtandao wa FastJet kwa tarehe nayotaka kusafiri ninahitaji kulipa 176k one way wakati PW kuna ticket ya 71K.

Nimejaribu kutizama FJ, hata kama unabook miezi miwili mbele, 32 elfu haipo tena, hii ni kusema bei za FJ sasa ziko juu kama tu PW au pengine zaidi

Hawa hawako cheap except wanatumia marketing strategy ya ku-hide extra costs ili waonekane kama wako cheap. Kwanza kwangu mimi kuanza kuingia gharama zingine za nyongeza wakati wa checking-in ilishajengeka kichwani kwangu kama penalty, na sipendi kabisa gharama za nmana hii
 
Kwakweli fast jet sazingine wanagharama kuliko Precision. Mie nilienda kubook kwenda kia ni 325000 one way,nikasema ngoja nipite precision nikapata kwa 20000.
acha uwongo yani tofauti ya 325000-20000= 305000
 
Back
Top Bottom