Fastjet: Basi linalopaa angani

Shida ni tabia za kilocal wanazo wanahisi mtu akipanda ndege bhasi ana hel za kumwaga nami pia ni muhanga mkuu ila mara ya kwanza nilisahau kuwadai wakipiga mara ya pili sikupewa bahati nzuri nilimkariri wakati nashuka nikamuona kwa kweli nilimchana mubashara (live) binti nipatie chenji yangu kwa ukali eti kakajifanya sorry nilishashau nikamwambia ila mimi sisahaugi hela nyuma leta ndo nishuke
 
Hivi safari isiyozidi masaa mawili unanunua nunua vyakula au vinywaji vya nini?
 
Jukumu la kutafuta chenji ni la muuzaji, kabla ndege haijapaa, akikumbuka kupakia korosho zake, basi akumbuke kupakia na chenji za kurudishia wateja wake, kinyume na hapo huo ni wizi. Vinginevyo gharama za hizo bites ziingizwe kwenye nauli au kusiwepo na bites kabisa.
 
DAR -MWANZA UNAKULA?
UKIENDA UMBALI WA JAPO DUBAI UTAFANYA NINI?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…