Mwana Ilala
JF-Expert Member
- Jan 29, 2013
- 1,286
- 488
Habar waungwana.
Ninapata shida ya kuchagua VPN Madhubuti kwa Speed na yenye Service and easy Setup,
Nimejaribu kupitia kati ya Hizi hapa lakini kila Mmoja anajiona yuko juu ya mwenzie.
Tafadhali kwa yoyote ambaye ana uelewa wa VPN naomba anijulishe ni VPN provider yupi
ambaye anaaminika kwa kuhuduma nzuri na Service ambayo ni Faster katika kustream Videos Online(NETFLIX and
HULU)?
Nimejaribu kureview hizi chache lakini kila mmoja anajisifia mwenyewe.
1.Hide My Ass
2.Pure VPN
3.Strong VPN
4.IPvanish
5.Witopia
6.CyberGhost VPN
7.VPN4ALL
8.Private Internet
Please Msaada tafadhali waungana.
pia naomba Somo la OpenVPN Vs PPTP