Tujisahihishe Tz
Platinum Member
- Nov 17, 2011
- 3,061
- 1,367
Chukua 80k
Hiyo hailipi mkuu, ongeza
Hya nkipata yakuongeza ntakutafuta.
Mwambie a-google
Aki google ndo atapata uhalisia wa hiyo simu inayouzwa au umekurupuka.
Inatakiwa iwe hivyo upande wa specs