Fashion Fail!

Ilulu

Senior Member
Joined
Mar 22, 2008
Posts
161
Reaction score
32

Attachments

  • examples_of_antifashion_640_60.jpg
    35.2 KB · Views: 687
huyo mdada sijui mmama wa chini hapo kiboko, utafikiri ile kitu inayopendwa sana na wachaga a.k.a kitimoto.
 
Acha uzushi wewe....kitimoto inapendwa na kila mtu...muulize huyo ulioko nayo hapo wakati unasoma hii thread usikie jibu lake
huyo mdada sijui mmama wa chini hapo kiboko, utafikiri ile kitu inayopendwa sana na wachaga a.k.a kitimoto.
 
Picha ya pili nimeikubali sanaaa!!!,-nategmea sana siku sionyingi Dada zangu wa Kibongo wataiga tuu!!! kwa kuwa ni mabingwa wa kufanya hivyo
 



nimependa hii fashion ingawa simshauri mwanamke ninayemfahamu kuifuata
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…