Fashion and design school in DSM

Fashion and design school in DSM

sangas

Senior Member
Joined
Aug 26, 2012
Posts
139
Reaction score
107
Wana jf. kwa yeyote anayefahamu chuo,shule,training ama any school panapotolewa fashion and designing training anijuze
 
Ila asilimia kubwa wa madesigner na mamodel wanakua gays. so jitahidi usiwe hivyo ukiingia huko. baki kua mwanaume kamili
 
Ila asilimia kubwa wa madesigner na mamodel wanakua gays. so jitahidi usiwe hivyo ukiingia huko. baki kua mwanaume kamili

unajuje labda tayar ni gay,we mwambie io shule iko wapi ayo mengine mwachie mwenyew
 
hii ni industry inayoajiri watu ktk textile nyingi hapa nchini na abroad sasa kama una any info.zinazohusu mafunzo haya anijuze,vijana wangu na ni k4 leaver this year wanataka kujifunza vitu hiv sio kuwa ni guys be disntict on view
 
Wana jf. kwa yeyote anayefahamu chuo,shule,training ama any school panapotolewa fashion and designing training anijuze

Fika DTP,opp TMJ hosp kwenye ile petrol station pembeni ya Mayfair,wanafundisha graphic designs,fika pale utapata maelezo or just google.
 
Wana jf. kwa yeyote anayefahamu chuo,shule,training ama any school panapotolewa fashion and designing training anijuze

angalia website ya veta chang'ombe ipo hiyo course google tu nimesahau website yao
 
Back
Top Bottom