Fasheni nyingine simruhusu my avae

Mi naona hilo si kalio lake ni kajazia mto huyo maana madada wa siku hizi ni wajanja sana na wana mbinu za hali ya juu na utasema machina kwa ujanja
 
Mi naona hilo si kalio lake ni kajazia mto huyo maana madada wa siku hizi ni wajanja sana na wana mbinu za hali ya juu na utasema machina kwa ujanja



Hahahahah umekumbusha 4 years ilopita kuna wadada walikua wanavaa diapers kwenye hips wanazifunga ili nguo itulie na waonekane na shepu aiseee nliona duniani kuna wabunifu.....
 
Hapo hahisi kutekenywe kweli lol!
 
Hivi mwanamke mwenye makalio kama haya ndo mzuri au vipi, mbona mimi sielewi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…