Hebu tujaribu kufanya tathmini ya nguvu iliyotumika kuchunguza kifo cha Faru John dhidi ya nguvu iliyotumika ktk uchunguzi dhidi ya uvamizi wa clouds FM.
Ukitazama kiasi cha energy (nguvu) iliyotumika kwa faru na Clouds kinaweza kuwa kinafanana, ila vimetofautiana direction.
Nguvu kwa Faru John ilikuwa ni utetezi dhidi ya ukatili kwa wanyama na kumsaka muharifu aadhibiwe, wakati kwa clouds ilikuwa ni kuzima muharifu asiadhibiwe. kwanini sasa matumizi ya nguvu yamebadilika kulinda muharifu na kule kusaka muharifu nadhani wenye mamlaka ndio wanajua!
Haya nadhani ni miongoni mwa maajabu ya awamu yetu hii,
maana kwa kauli za nguvu tumeambiwa hakuna mtu kwenda kutibiwa nje, kiasi hata first lady alilala sewahaji pale Muhimbili ila katibu wa chama kaumwa akatumwa kutibiwa India!
Kweli ukistaajabu ya Mkwere utayaona ya Msukuma.......