Farsafa ya urusi kuhusu kutotegemea Marekani na Eu

Andka Falsafa bhana ww, au unamaanisha kitu kingne?
 
european union wanategemea gas kutoka russia pipelina kutoka russia mpaka germany imepita Finland sweden denmark under water
Na kuna ile inayopita Ukraine then inaenda hadi Ulaya magharibi.
 
Hayo ni matokeo ya taifa kuwa na vision. Russia, kama mataifa yale yaliyoendelea, ina technology pamoja na skilled labour pia ndio taifa linaloongoza kwa kuwa na Natural Resources nyingi duniani.

Sasa kwa kuwa wana clear development program waliyojiwekea na responsible leadership, hawashindwi kufikia malengo waliyojiwekea.

Sisi tunaongelea viwanda kama chambo cha kuvutia tu kura lkn hatuna mkakati wowote..!
 
Naomba tu kuuliza mbona Russia kwa vile imejikita sana kwenye mambo ya ulinzi na usalama watu wake wana uchumi wa kutia shaka...???
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Ukianzisha sehemu ya kushona una cherehani tatu na umeajiri wafanyakazi watatu, hicho ni kiwanda tutazalisha nguo mpya tuvae tukizichoka tunavua tunawapelekea wao wavae mitumba.
Ukiwa na freezer unatengeneza na kuuza barafu, we una kiwanda.
Ukiwa unafyatua tofari hicho ni kiwanda.
Yani full of vi wonders.
In mwijage's voice
 
tatizo ubunifu na pia sekta binafsi haiko huru,wawekeze zaidi kwenye elimu
 
haina haja ya kuoredhesha viwanda ambavyo urusi wanavyo sababu kabla huyo USA hawajamuita super power URUSI walikuwa superpower
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…