faridi musa aenda ligi kuu slovenia

Mndengereko One

JF-Expert Member
Apr 26, 2015
334
237
Winga wa Azam,Farid Musa Maliki Shaa wiki ijayo atakwenda kufanya majaribio kwenye klabu ya Olimpija ljubljana inayoshiriki ligi kuu ya Slovenia.

Tumwombee dua aweze kufanikiwa.
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom