primolut N
JF-Expert Member
- Feb 9, 2018
- 391
- 317
Exactly kabisahivi mtu kutokuolewa ni tatizo?
ni Africa pekee watu wanalilia ndoa.
waishi maisha yao,naonyesha kuwahurumia lkn huku mnawaponda. dunia hii hatuwezi kufanana wala hatuwezi kupata vyote
Sent using Jamii Forums mobile app
tayari kazi hiyo haikufai sababu umefungua mdomo hapa kuwa unakazi inayokupa uwezo wa kuchungulia pasipokuhusu
Nope hujanielewa mkuu ni huyo mtu aliweza kuconfess hio akiwa anataka msaada kutoka kwangutayari kazi hiyo haikufai sababu umefungua mdomo hapa kuwa unakazi inayokupa uwezo wa kuchungulia pasipokuhusu
Sent using Jamii Forums mobile app
ahaaa, nimekusomaNope hujanielewa mkuu ni huyo mtu aliweza kuconfess hio akiwa anataka msaada kutoka kwangu
Sent using Jamii Forums mobile app