NA akipewa asubiri kukatwa sikuyamwisho yamalipoyake....Kwa kawaida NSSF hutoa fao la uzazi Kwa mwanake alojifungua,na huwa sawa na mishahara ya miezi mitatu.swali je kama mzazi kujifungua halafu ndani ya masaa machache Mtoto akafariki mzazi atapewa fao la uzazi?