Fao la uzazi la PSPF

Fao la uzazi la PSPF

Mapya Yaja

JF-Expert Member
Joined
Feb 8, 2013
Posts
560
Reaction score
403
Kwa mujibu wa tangazo lao kwenye media wameanza kutoa fao la uzazi kuanzia Julai mwaka huu. Naomba mwenye taarifa zaidi hasa vigezo na taratibu za kufuata ili kupata fao hili atujuze. Nitashukuru kwa msaada
 
Tutajie chanzo cha habari hii, ili tufunguke vizuri. Naona kama umeuliza swali.
 
Kwanza washawalipa wastaafu wa kuanzia January mwaka huu mafao yao?
 
Kwa mujibu wa tangazo lao kwenye media wameanza kutoa fao la uzazi kuanzia Julai mwaka huu. Naomba mwenye taarifa zaidi hasa vigezo na taratibu za kufuata ili kupata fao hili atujuze. Nitashukuru kwa msaada
Nenda Facebook like page yao then kuna Q&A.
 
Kwa nini wasitoe fao la uzazi ikiwa wametangaza na pia wengine wote (NSSF, GEPF, PPF) wanatoa? Ni nini kinachowapa kiburi cha kutokutoa fao la uzazi. Tanzania ni nchi pekee ambayo wanachama wa mifuko ya jamii wananyanyaswa waziwazi kabisa. Hili suala linatakiwa lifikishwe kwa waziri mwenye dhamana ya fedha au ustawi wa jamii au ikiwezekana kwa mtumbuaji majipu wetu Mr. Magu
 
PSPF ni waongo sana, ni waongo sana....
HAWANA CHA FAO LA UZAZI WALA NINI
wala hawajawalipa wastaafu hadi sasa, nawachukia, najuta kujiunga nao
Me najaribu kuwasiliana nao lakini nagonga mwamba.Napiga simu hawapokei.
 
kweli ila nawasifu sana GEPF asee wanamafao ya kweli na wanalipa fasta na washukuru wamemlipa wf na mm washanipa fao la elimu sijutii kabisa asee
 
Back
Top Bottom