Kuna mstaafu anayetunzwa na serikali? Labda wa vyeo vya juu serikalini. Hawa wastaafu tunao wengi sana mitaani watunzwa na mizinga wanayotupiga... Sa sijui unaongelea wastaafu gani chief?
hujui mstaafu analipwa kila mwezi pensheni mpaka kufa kwake?
mtu mwenye miaka 50 ana nafasi kubwa ya kuchelewa kufa kuliko mtu mwenye miaka 60... wanakwepa kulipa pensheni miaka mingi.. ndio maana umri wa kustaafu wanataka uwe mkubwa