Mavimakavu
Member
- Jan 10, 2011
- 10
- 26
Hakuna aliyekufunga ndugu biashara siyo jambo jepesi kiasi hichoNi binti mrembo anampenda MUNGU na mwenye akili ila amezaa na Mume wa mtu ambaye mwanzoni wakati penzi limepamba moto Mwanaume alimuambia Mdada aache kazi atamuhudumia na mtoto ila penzi life kwakuwa hakuwa tayari kuzaa nae.
Muda umeenda Mdada kweli alikubali kuacha kazi. Mwanaume anamtimizia mahitaji yake yote na Mdada anaishi maisha mazuri tu na mtoto anasoma shule ya maana. Ila Mbaba hataki kuwaona kabisa, ni ile kutuma pesa tu basi imeisha. Mdada amechoka hayo maisha anataka kumove on na maisha yake. Ajikimu kipato atengeneze Familia yake. Ila anahisi kama amefungwa kiroho. Aliomba kazi hajawahi kupata tangu yupo chini ya huyo Mbaba! Amejaribu biashara ila kuna kauzito ambako anakaexperience mpaka anafikia point ya kuhisi ni kama kafungwa kimazingara.
Maana huyo mbaba ana wake wengine hivyo anahisi huenda wakawa wamemchezea.
Je, unamsaidiaje huyu Binti kwa ushauri ama chochote?
Help a Sister
Atubu kwa Mungu. Wakati ndoa inafungwa, mume na mke wanakubali kuwa kitu kimoja mpaka kifo kiwatenganishe. Kwa kitendo tu cha yeye kuwa na mume wa mtu, ametenganisha umoja ule, hivyo yeye ni kama kifo. Akatubu, amtafute wife wa jamaa akamuombe msamaha. Atakuwa huruNi binti mrembo anampenda MUNGU na mwenye akili ila amezaa na Mume wa mtu ambaye mwanzoni wakati penzi limepamba moto Mwanaume alimuambia Mdada aache kazi atamuhudumia na mtoto ila penzi life kwakuwa hakuwa tayari kuzaa nae.
Muda umeenda Mdada kweli alikubali kuacha kazi. Mwanaume anamtimizia mahitaji yake yote na Mdada anaishi maisha mazuri tu na mtoto anasoma shule ya maana. Ila Mbaba hataki kuwaona kabisa, ni ile kutuma pesa tu basi imeisha. Mdada amechoka hayo maisha anataka kumove on na maisha yake. Ajikimu kipato atengeneze Familia yake. Ila anahisi kama amefungwa kiroho. Aliomba kazi hajawahi kupata tangu yupo chini ya huyo Mbaba! Amejaribu biashara ila kuna kauzito ambako anakaexperience mpaka anafikia point ya kuhisi ni kama kafungwa kimazingara.
Maana huyo mbaba ana wake wengine hivyo anahisi huenda wakawa wamemchezea.
Je, unamsaidiaje huyu Binti kwa ushauri ama chochote?
Help a Sister
Kabisa, tena kama alijua kabisa ni mume wa mtuLazima kuna watu walimkanya kabla hayaja mpata.
Ukiacha kwamba nifanye kama namshauri dada yangu...
Minasemaje......
Hata angekua ni binti yangu, Minaona avune alicho panda..π€¨
Na huyo Mungu watu wanamsingizia kwenye mambo ya hovyo na tamaa zao tu..π
Huyo dada anapaswa kujishauri yeye kwanza. Je ana tatizo? Tatizo ni nini? Baada ya hapo atapata way forwardNi binti mrembo anampenda MUNGU na mwenye akili ila amezaa na Mume wa mtu ambaye mwanzoni wakati penzi limepamba moto Mwanaume alimuambia Mdada aache kazi atamuhudumia na mtoto ila penzi life kwakuwa hakuwa tayari kuzaa nae.
Muda umeenda Mdada kweli alikubali kuacha kazi. Mwanaume anamtimizia mahitaji yake yote na Mdada anaishi maisha mazuri tu na mtoto anasoma shule ya maana. Ila Mbaba hataki kuwaona kabisa, ni ile kutuma pesa tu basi imeisha.
Mdada amechoka hayo maisha anataka kumove on na maisha yake. Ajikimu kipato atengeneze Familia yake. Ila anahisi kama amefungwa kiroho. Aliomba kazi hajawahi kupata tangu yupo chini ya huyo Mbaba! Amejaribu biashara ila kuna kauzito ambako anakaexperience mpaka anafikia point ya kuhisi ni kama kafungwa kimazingara.
Maana huyo mbaba ana wake wengine hivyo anahisi huenda wakawa wamemchezea.
Je, unamsaidiaje huyu Binti kwa ushauri ama chochote?
Help a Sister