Poor Brain
JF-Expert Member
- Jul 5, 2019
- 28,795
- 58,426
Jaribu mkuu ulete mrejesho leoHakuna chochote zaidi ya kuuchosha ubongo na makelele, pamoja na uchovu wa mchana, ukichangia na usingizi na hofu uliyojijengea na kuwa muoga. Ila hakuna chochote.
Kuwa makini mkuuSiku hizi kila mtu ana jambo lake hata kama ni ukichaa
Mkuu bado unaendelea unazani hizo elimu tunatoa toa tuu.Ndiyo maana MODS wanafungia nyuzi zako, NAWASHAURI MODS WAKUPIGE BAN KABISA! HII NI ELIMU GANI ISIYOKUWA NA MUKTADHA WOWOTE! UNAANDIKA THREAD ALAFU UNAISHIA HEWANI! THIS IS FOOLISHNESS SIO KNOWLEDGE!!
Pesa mtatoa kama ukitaka kujua kufungua jicho la tatuPesa
Jicho la tatu?Pesa mtatoa kama ukitaka kujua kufungua jicho la tatu
Je unataka kufungua jicho la tatuJicho la tatu?
Nilikuwa nakuheshimu sana mkuu
Unalombwa mkuuJe unataka kufungua jicho la tatu