Pdidy
JF-Expert Member
- Nov 22, 2007
- 61,023
- 36,865
🔥💪FANYA HIVI KUCHELEWA KUFIKA KILELENI ⬇️
Leo tena tunagusa kitu cha msingi sana tumia dakika 3-5 tu—kuunganisha pumzi zako na mawazo yako. Kila unapovuta pumzi, unaruhusu utulivu kuingia ndani yako.
Tatizo lako la kuwahi kufika, mzizi wake umeanzia katika mfumo wa fahamu – yaani, ule mfumo wa ndani ya mwili wako unaotuma ujumbe kutoka ubongo kwenda kwenye misuli yako ya uume.
Ukweli ni kwamba: Kuwahi kufika kileleni si tatizo la uume, ni tatizo la mfumo wa fahamu.
Unapokuwa na hofu, presha ya kufanya vizuri kumridhisha mkeo, au papara ya kushiriki tendo, mfumo wako wa fahamu huingia kwenye hali ya kitaalam inayoitwa flight mode na fight mode au (kukimbia au kupigana) – na hapa ndipo unajikuta ukimaliza mapema bila kukusaidia.
Suluhusho la haraka; ni kuvuta pumzi na kutoa nje kwa kanuni niliyokufundisha katika video Ile ya dakika 7. Kila ukifanya hivyo, unafukuza kabisa wasiwasi ndani yako.
Leo tena chukua dakika chache tu, kaa sehemu tulivu, kaa kimya, vuta pumzi ndefu, na anza kuhesabu taratibu kimoyo moyo ukiwa umefumba macho, hesabu kuanzia 20 hadi 0 huku unatoa pumzi taratibu
Hakikisha unahesabu ndani ya akili yako, bila haraka. Kila pumzi ni nafasi ya kuunganisha mwili na akili yako. Kadri unavyoendelea, utagundua kuwa akili yako inaanza kutulia, na mwili wako unapata nguvu kubwa ya ndani taratibu kwa uhakika.
Hii ndiyo hatua ya kwanza ya kujenga kudhibiti wa kuwahi kufika kileleni kuanzia ndani. Haya anza sasa. Badae nipe mrejesho wa hali yako imeendaje