Hhhhhh kwani we mtoto wa baba sio????Mkuu tatizo watoto wa mama hawaelewi,Uzi ni wa mabaharia wamevamia watoto wa mama
Tatizo linakuja pale unapokuwa umeelewa show alfu wewe ndio unaanza kuteseka.
Huu ujinga huwa wanafanya wanaume wa kinondon.Nakukumbusha: Baharia Pia Ibara Ya 3 Inasema Hivi Nanukuu " Jinsi Ya Kumtesa Mwanamke Ki-saikolojia Mpe Nahitaji Yote Anayotaka Hata Mengine Asiyoyataka(Ushauri, Pesa, Shopping, Out Za Kutosha, n.k) Huku Ukijifanya Huna Mpango Wa Mbunye/Papuchi/Mzigo/Chini/Kitumbua. ".
Mwisho Wa Kunukuu Mabaharia
Hi mbinu nimeitumia Sana,ila Kuna mmoja nilimvua nguo zote nikamtizama nakumwambia vaa uwende huna ladha
Kweli itamtesa kisaigologiaHii itamtesa kisaigologia next time atakuwa na heshima kama zote
Si useme tu umenielewa ni kukwichikwichi! Kwani unateseka!?Kuna wakati unaandika pumba
Ninachokupendea nyuzi zako sio ndefu
Mfyuuuuu..bichwa lakoSi useme tu umenielewa ni kukwichikwichi! Kwani unateseka!?
ndio hasa lengo la uzi huu, unampa mapenzi matakatifu then baada ya hapo unampotezea na yeye akome.Mwanamke hakomolewi na mapenzi ya kutumia nguvu na kutoana jasho, ila anakomolewa na mapenzi laini na yenye kumfanya atamani kuwa nawe siku zote.
Akitoka hapo lazima ahisi kweli alikuwa na MWANAUME, tusiwaparamie kama tunakwea minazi ili tu kukidhi haja zetu. Ukitaka kumkomoa mpe kitu special ambacho atajivunia kwako.
Mfyuuuuu..bichwa lako
Mahaba na wewe kichwa panzi?[emoji44][emoji44] [emoji126][emoji126]Mahaba huwa yanaanza hivi hivi,soon tutakuwa nice couple ya Jf
ndio hasa lengo la uzi huu, unampa mapenzi matakatifu then baada ya hapo unampotezea na yeye akome.
Mahaba na wewe kichwa panzi?[emoji44][emoji44] [emoji126][emoji126]
Tatizo Walio Wengi Hawajui Kwamba ukichukua Mchanganyiko wa Soda Na nyanya Chungu uchumi wetu Utakua Mara Dufu. Wao Kila Siku Wako Busy Kununua Samaki Wakati Nyiwa Na twiga ni Marafiki Wa kudumu.Ni kweli kwa namna ambavyo mkataba wa umoja wa mataifa unavyotaka ni ngumu Simba kuingia katika soko la mbaazi kwa vile India imepeleka wanajeshi kulinda amani kwenye visiwa vya Caribbean.
Kweli siku zote iko hivyo kwenye maendeleo lazima jua liwake na madarasa hayana waalimu tunabaki kupata ajali zisizo na uwezeshaji kwa vijana.Tatizo Walio Wengi Hawajui Kwamba ukichukua Mchanganyiko wa Soda Na nyanya Chungu uchumi wetu Utakua Mara Dufu. Wao Kila Siku Wako Busy Kununua Samaki Wakati Nyiwa Na twiga ni Marafiki Wa kudumu.
Nani aliekuambia nakaa salasala mie..vijuice vya mak hata mwenyewe Nina ubavu wa kuvinunuaKwani unadhani nitashindwa kukulipia kodi ya mwaka huko salasala unapokaa,na vi juice za Mack, be serious miss
chanzo Kikuu cha Haya Yote ni Viwanda Kuendelea Kuitegemea TFF Wakati TBC Na Hashimu Rungwe Bado Wako Hai. Haiwezekani Mvua Inyeshe Kiangazi Wakati Bahari Na Pundamilia Ndio Vivutio Vyetu, Hii Sio Sahihi Kabisa.Kweli siku zote iko hivyo kwenye maendeleo lazima jua liwake na madarasa hayana waalimu tunabaki kupata ajali zisizo na uwezeshaji kwa vijana.
Outing zangu nakupa trip Dubai tukirudi una mimba ya wiki mbili!, fungua tu Pm tuyajenge I hope hujawahi kupanda ndege kwa nauli yako mwenyeweNani aliekuambia nakaa salasala mie..vijuice vya mak hata mwenyewe Nina ubavu wa kuvinunua