Fanya haya usiumize hisia za mkeo/mumeo

Fanya haya usiumize hisia za mkeo/mumeo

Nimekuja hapa kukusalimu tu baasi. Nlikumisi sana mi babu yako ODM.

Baada ya salamu nawatakieni mjadala mwema.
Marahaba babu, hujambo?

Mi sijakumiss maana niliomba mwaliko wa pasaka lakini hola.
 
Ingawa maelezo mi mengi, umejitahidi sana. Siku nyingine summarize
 
Xiexie xiexie . . .namba moja ndio inafanya wengi washindwe kufuata mtiririko maana mtu ukishamuona kila anachofanya ni kosa hamna zuri unaloweza kufanya juu yake. Mahusiano yenu yatakuwa yanatawaliwa na hisia hasi wakati wote. Utataka kumtumia kadiri uwezavyo kujiridhirisha/kumkomoa and thats bad for any relationship.

Xiexie once again kwa kutukumbusha namna ya kulea mahusiano yenye afya.

Kabisa that namba one ilinifanya nikapigwa chini...thanx God nilijifunza...
Mesema kitu cha ukweli kbs...
 
Last edited by a moderator:
Kabisa that namba one ilinifanya nikapigwa chini...thanx God nilijifunza...
Mesema kitu cha ukweli kbs...

Pole sana mkuu. Naamini baada ya kujifunza sasa mambo yanakwenda vizuri
 
Marahaba babu, hujambo?

Mi sijakumiss maana niliomba mwaliko wa pasaka lakini hola.

Sio mimi... Ni bibi yako alinifungia ndani. Hakyamama kabibi kako kana wivu Michelle Obama kasingiziwa.
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom