Fanicha kwa bei nafuu | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Fanicha kwa bei nafuu

Discussion in 'Matangazo madogo' started by manyusi, Sep 1, 2009.

 1. m

  manyusi JF-Expert Member

  #1
  Sep 1, 2009
  Joined: Mar 3, 2009
  Messages: 274
  Likes Received: 24
  Trophy Points: 35
  Tunatengeneza aina mbali mbali za fanicha kwa kutumia mbao ngumu kama mninga,mkongo,mvule na mpande karakana yetu iko sinza palestina Dar es salaam,tunatengeneza makabati ya jikoni pia,wasiliana nasi kwa;akamanyusi@yahoo.co.uk au tupigie simu 0713876210
   

  Attached Files:

  Last edited: Sep 1, 2009
 2. Mutensa

  Mutensa JF-Expert Member

  #2
  Sep 1, 2009
  Joined: Feb 20, 2009
  Messages: 426
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 35
  mnapatikana nchi gani na mji gani?
   
 3. Magpie

  Magpie Member

  #3
  Sep 1, 2009
  Joined: Aug 26, 2009
  Messages: 70
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  mpo wapi ? show room yenu ipo wapi ?
   
 4. GP

  GP JF-Expert Member

  #4
  Sep 1, 2009
  Joined: Feb 5, 2009
  Messages: 2,073
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 135
  hawa jamaa wapo dar, maeneo ya sinza, walishawai kunipa quotation yao.
  mfano hicho kitanda sita kwa sita ni 400K tu.
   
 5. Gudboy

  Gudboy JF-Expert Member

  #5
  Sep 1, 2009
  Joined: Aug 14, 2009
  Messages: 799
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 33
  mnatengeneza sofa set kwa bei gani na ni imara, itabidi nije kuwatembelea kwenye showroom yenu
   
 6. Fidel80

  Fidel80 JF-Expert Member

  #6
  Aug 30, 2010
  Joined: May 3, 2008
  Messages: 21,976
  Likes Received: 104
  Trophy Points: 145
  Mzee Manyusi umepotea mzigo umekwishiney nini?
   
 7. Bujibuji

  Bujibuji JF-Expert Member

  #7
  Aug 30, 2010
  Joined: Feb 4, 2009
  Messages: 35,322
  Likes Received: 22,145
  Trophy Points: 280
  Wajasirimali hongereni
   
 8. D

  Dedii Member

  #8
  Sep 5, 2010
  Joined: Aug 16, 2010
  Messages: 76
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 13
  safi sana. . . nataka kujua bei ya mlango kama huo na kitanda hicho cha chini.
   
 9. Fidel80

  Fidel80 JF-Expert Member

  #9
  Nov 9, 2011
  Joined: May 3, 2008
  Messages: 21,976
  Likes Received: 104
  Trophy Points: 145
  Umepotea Manyusi mm natafuta sofa ya bei chee
   
 10. M

  Mtazamotu Member

  #10
  Nov 9, 2011
  Joined: Jul 29, 2011
  Messages: 21
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 5
  Poa tutawacheki
   
 11. M-pesa

  M-pesa JF-Expert Member

  #11
  Nov 9, 2011
  Joined: Sep 4, 2011
  Messages: 605
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 0
  Thread ya Tangu mwaka 2009. Manyusi mwenyewe naona hajawahi ku respond kabisa.
   
 12. Amoeba

  Amoeba JF-Expert Member

  #12
  Nov 10, 2011
  Joined: Aug 20, 2009
  Messages: 3,328
  Likes Received: 93
  Trophy Points: 0
  Muwieni radhi jamani manyusi ndiyo zake kuja na kupotea! shughuli nyingi anafkuzia mbao mashammbani, au yuko bize na randa!!!....next tym uweke namba yako kaka; watu washaisahau, pia nakushauri uwasiliane na mods ubandike tangazo la kwelli-utauza sana kaka samani zako ni nzuri na imara kwa bei nafuu kabisa!
   
 13. mfianchi

  mfianchi JF-Expert Member

  #13
  Nov 15, 2011
  Joined: Jul 1, 2009
  Messages: 7,940
  Likes Received: 1,498
  Trophy Points: 280
  Mh sinza Palestina ipi na kiwanda kinaitwaje kwani hayo maeneo sijaona kiwanda cha fenicha zaidi naona mafwafwa (sofa za kibongo za mbao nyeupe na mito ya magodoro ya kulalia) poor quality hapo Snza kwa Remi
   
 14. harakat

  harakat JF-Expert Member

  #14
  Nov 15, 2011
  Joined: Jul 4, 2011
  Messages: 2,908
  Likes Received: 761
  Trophy Points: 280
  Hongera kaka nikija pande hizo nitaja chukua kilalio
   
Loading...