msonganzila
JF-Expert Member
- Jun 5, 2016
- 204
- 106
Nilikuwa nazisaka sana,unauzaje mkuu?Karibuni ndugu jamaa na Marafiki tunapokea na kutengeneza Order ya Fance wire kwa Idadi tofauti tofauti,zinapatikana kwa ukubwa Wa 2.00mm 15mtr kwa urefu na 6ft kwa upana pia Size:-
2.00mm
2.5 mm
3.00mm
Karibuni sana....View attachment 404521
Kwa 2.00mm,70,000/=Gharama zake zipoje??
Bado haitoshi.Kwa 2.00mm,70,000/=
Kwa 2.5mm,80,000/=
Kwa 3.00mm,100,000/=
Bei hiyo kwa kila pcs moja....
Si ameshaelezea pale juu kuwa urefu ni 15mtr na upana ni 6ft. By the way Mkuu umekimbia Jukwaa la siasa muda sasa,tatizo nini?Bado haitoshi.
Pc moja ina ukubwa gani? Yaani mtu ajue makadirio ya gharama kwa eneo lake.
Jukwaa la siasa hakuna kipya tangu Chadema ilipouzwa.Si ameshaelezea pale juu kuwa urefu ni 15mtr na upana ni 6ft. By the way Mkuu umekimbia Jukwaa la siasa muda sasa,tatizo nini?
Teh teh teh,pole sana Mkuu ulichotarajia kwa jamaa sicho ndio maana mmeamua kukaa kimya na kwa vile Mungu sio mnafiki nyinyi ndio mnapata maumivu makali na kuisoma namba zaidi ya Ukawa.Jukwaa la siasa hakuna kipya tangu Chadema ilipouzwa.
Bila Dr. Slaa mijadala haina mvuto...
Mkuu just for curiosity are these fence rust resistance.?Karibuni ndugu jamaa na Marafiki tunapokea na kutengeneza Order ya Fance wire kwa Idadi tofauti tofauti,zinapatikana kwa ukubwa Wa 2.00mm 15mtr kwa urefu na 6ft kwa upana pia Size:-
2.00mm
2.5 mm
3.00mm
Karibuni sana....View attachment 404521
Sema tangu mlipomnunua slaa hakuna biashara nyingine jukwaa la siasaJukwaa la siasa hakuna kipya tangu Chadema ilipouzwa.
Bila Dr. Slaa mijadala haina mvuto...
Swali la msingi sana ambalo wote hapo juu tumeshindwa kuliuliza maana inaweza kuwa zimetengenezwa kwa zile scrap wanazonunua mitaani.Mkuu just for curiosity are these fence rust resistance.?
Pcs moja INA UREFU WA MITA 15 NA UPANA WAKE NI FUTI 6.…...Bado haitoshi.
Pc moja ina ukubwa gani? Yaani mtu ajue makadirio ya gharama kwa eneo lake.
Dah,Kwa 2.00mm,70,000/=
Kwa 2.5mm,80,000/=
Kwa 3.00mm,100,000/=
Bei hiyo kwa kila pcs moja....
Kwani toka Lowasa auziwe Chadema kuna cha maana zaidi ya matamko ya kutafuta kiki tu....?Sema tangu mlipomnunua slaa hakuna biashara nyingine jukwaa la siasa
labda nunue hizo waya tuu.
Sema tangu mlipomnunua slaa hakuna biashara nyingine jukwaa la siasa
labda nunue hizo waya tuu.
Zipo mji gani mkuuKaribuni ndugu jamaa na Marafiki tunapokea na kutengeneza Order ya Fance wire kwa Idadi tofauti tofauti,zinapatikana kwa ukubwa Wa 2.00mm 15mtr kwa urefu na 6ft kwa upana pia Size:-
2.00mm
2.5 mm
3.00mm
Karibuni sana....View attachment 404521
Mnapatikana Sehemu gani hapa Tanzania.Tunapatikana kwa 0715-011022
Tunapatikana Kimara Stop Over.....Mnapatikana Sehemu gani hapa Tanzania.