Asilimia kubwa ya wamarekani hasa weusi wanakulia maisha ya mzazi mmoja ambaye mara nyingi ni mama,na wadada wengi wanabeba mimba wakiwa wadogo sana ndio sababu hao jamaa wameringana ringana umri na mama zao!
Source: Eric Shibangi, Oparesheni comment kila topic (OCKT)