Sunshow JF-Expert Member Nov 11, 2011 1,140 391 Jun 17, 2012 #2 Single man ananikumbusha msemo usemao PONDA RAHA KUFA KWAJA.
kijembeee JF-Expert Member Jun 6, 2012 409 105 Jun 17, 2012 #3 two diferent worlds,dah family man adi amezeeka
Donnie Charlie JF-Expert Member Sep 16, 2009 15,174 16,267 Jun 17, 2012 Thread starter #4 Sunshow said: Single man ananikumbusha msemo usemao PONDA RAHA KUFA KWAJA. Click to expand... Sunshow fikiria upo kwenye miaka30+ alafu una 40 yrs zaidi Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
Sunshow said: Single man ananikumbusha msemo usemao PONDA RAHA KUFA KWAJA. Click to expand... Sunshow fikiria upo kwenye miaka30+ alafu una 40 yrs zaidi
Kunta Kinte JF-Expert Member May 18, 2009 3,688 1,282 Jun 17, 2012 #5 Huyo family man kama wife amesepa hivi!! kwa adha anayoipata lazima akaombe msamaha hata kama ni yeye amekosewa!!
Huyo family man kama wife amesepa hivi!! kwa adha anayoipata lazima akaombe msamaha hata kama ni yeye amekosewa!!
Sunshow JF-Expert Member Nov 11, 2011 1,140 391 Jun 17, 2012 #6 kijembeee said: two diferent worlds,dah family man adi amezeeka Click to expand... Ni bora family man kuna uwezekano wa fadhila hapo mbeleni Lakini Single man ni pesa mbele na hakuna shukurani.
kijembeee said: two diferent worlds,dah family man adi amezeeka Click to expand... Ni bora family man kuna uwezekano wa fadhila hapo mbeleni Lakini Single man ni pesa mbele na hakuna shukurani.
kijembeee JF-Expert Member Jun 6, 2012 409 105 Jun 17, 2012 #7 iyo mitoto yako ikija kua single man huna chako,yani umekula loss mara mbili
Money Stunna JF-Expert Member Aug 9, 2011 13,054 6,281 Jun 17, 2012 #9 family man anaonekana kuwa na mawazo na mambo kama yanamchanganya
Donnie Charlie JF-Expert Member Sep 16, 2009 15,174 16,267 Jun 17, 2012 Thread starter #10 Money stunna said: family man anaonekana kuwa na mawazo na mambo kama yanamchanganya Click to expand... mimi nilidhani age ya family man imeenda kidogo kuliko single man
Money stunna said: family man anaonekana kuwa na mawazo na mambo kama yanamchanganya Click to expand... mimi nilidhani age ya family man imeenda kidogo kuliko single man