..family conflict vs future of our children..

SI unit

JF-Expert Member
Feb 24, 2012
1,953
766
Ladies and gentlemen, habari za asubuhi!
Jana wakati naianza w'end yangu, nilikua napata 'the lager' maeneo flan. Bar maid aliyekua ananihudumia ni bint wa miaka 17. Nikawa interested nae nikamkaribisha, tukapiga stori mbili tatu hivi. Nikamuuliza kwa nini ameamua kufanya kazi hiyo(barmaid) akiwa bado teenager?
Akanijibu ni kufarakana kwa familia.
"Bro, nimemaliza form 4 mwaka jana, nimesoma kwa shida, baba aligoma kunilipia ada, ananiambia mfate mama ako, mama anaishi na bwana mwingine na hana uwezo".. Mwisho wa kunukuu!
Ikabidi nimtafute meneja wa bar kupata ukweli coz watu hawakawi kujitungia stori. Meneja akaniambia ni kweli..
Nilihuzunikia 'maua' machanga yanaanza kunyauka kwa kukosa kumwagiliwa maji wakati maji yapo.
Nilipomuuliza matokeo, aliniambia ana D tatu..
Ama kweli what goes around comes around! Wanajamvi hali hii mpaka lini? Kwa nini dhambi hii ya wanandoa kugombana inawapata hata hawa wasio na hatia? It real pains kila kukicha street children, wanaojiuza, madanguro n.k yanaongezeka for the same reason. What genenation are we going to have in some near future? Tubadilike wajemeni.. Hayo ndio yangu kwa leo
...
Asubuhi njema!
 
mmh, hapa kazi ipo.

Mie huwa najiambia, si kila mtu ana uwezo wa kuwa mzazi.
Ukijitafakari ukaona huwezi kuwa mzazi usizae.

Watu wanakataa watoto, wanatelekeza familia. Vurugu tupu!
 
Hata kama umezaa na partner ambaye si chaguo lako halisi au ikatokea mkafarakana mbele ya safari, huyo aliyezaliwa asihusishwe na hiyo 'dhambi' yenu. Yafaa mumpatie mahitaji yake ya msingi mpaka atakapojitegemea!
 
Ladies and gentlemen, habari za asubuhi!
Jana wakati naianza w'end yangu, nilikua napata 'the lager' maeneo flan. Bar maid aliyekua ananihudumia ni bint wa miaka 17. Nikawa interested nae nikamkaribisha, tukapiga stori mbili tatu hivi. Nikamuuliza kwa nini ameamua kufanya kazi hiyo(barmaid) akiwa bado teenager?
Akanijibu ni kufarakana kwa familia.
"Bro, nimemaliza form 4 mwaka jana, nimesoma kwa shida, baba aligoma kunilipia ada, ananiambia mfate mama ako, mama anaishi na bwana mwingine na hana uwezo".. Mwisho wa kunukuu!
Ikabidi nimtafute meneja wa bar kupata ukweli coz watu hawakawi kujitungia stori. Meneja akaniambia ni kweli..
Nilihuzunikia 'maua' machanga yanaanza kunyauka kwa kukosa kumwagiliwa maji wakati maji yapo.
Nilipomuuliza matokeo, aliniambia ana D tatu..
Ama kweli what goes around comes around! Wanajamvi hali hii mpaka lini? Kwa nini dhambi hii ya wanandoa kugombana inawapata hata hawa wasio na hatia? It real pains kila kukicha street children, wanaojiuza, madanguro n.k yanaongezeka for the same reason. What genenation are we going to have in some near future? Tubadilike wajemeni.. Hayo ndio yangu kwa leo
...
Asubuhi njema!

your highness SI Unit..
hii mambo inauma asee!mtu mke na mtu mme wanapokutana wanawaza ile starehe ya bao tu ambayo haidum hata dk kadhaa...tunasahau outcomes na hatuna kitu kinachoitwa future at all!
lakini mtoto kama huyo nashauri aende hata ktk vyombo vya sheria...kuna haja ya kuwashtaki wazazi kama hao!!
 
Your majesty king! Umeshapata supu? Manake shughuli ya jana pale kwa 'MAMA KAMCHE' ilikua pevu.
Mkuu hali ni mbaya. Ikitokea ukafanya inta'vyuu' mitaa yetu ileeee (Buguruni, Ambiance n.k) utajua kwa nini wanafanya hiyo business..
 
SI na wewe ungefanya la maana kumshauri aende kwenye vyombo vya sheria kuwalazimisha wazazi wake wampe huduma kama mtoto wao. Maana suala la elimu ni la lazima
Pia hata angeenda ustawi wa jamii bado alikuwa na uwezo wa kupata haki yake kuliko kumwacha pale bar
 
sure thing!
 
A gud advice mod, ngoja nijaribu kufanya hivyo baadae nikipata muda wa kupita ile mitaa..
 
Your majesty king! Umeshapata supu? Manake shughuli ya jana pale kwa 'MAMA KAMCHE' ilikua pevu.
Mkuu hali ni mbaya. Ikitokea ukafanya inta'vyuu' mitaa yetu ileeee (Buguruni, Ambiance n.k) utajua kwa nini wanafanya hiyo business..

nimepata kitu ya kongoro...yamoto!..na tonic baridiiii...iliyowekwa ndim fresh!...nawaza kurudi kitandani asee...
wapo watu wa aina hiyo...huko kwenye bar madangulo...na hata wasaidizi wetu wa ndani wanamatatizo kama hayo!
 
Usingizi mwema king
 
.
The laga ilivyokolea nilipotezea ila nimeamka ndo nikakumbuka! But its easy to find her even today..

kama una uwezo wa kumsaidia fanya hivyo tafadhali., tusiwe watu wa kulaumu kwa mambo ambayo yashatokea na hatuwezi kuyarudisha nyuma. Najua wenye shida kama hiyo ni wengi ila unapopata opportunity ya kumsaidia japo huyo mmoja itumie na mungu atakubariki sana.
 
Back
Top Bottom