mr pipa
JF-Expert Member
- Jul 26, 2021
- 4,302
- 9,205
Kuna jamaa yangu alibahatika kukutana na mwanamke miaka saba iliyopita
Kutokana na kipindi hiko dem kuwa na stress za maisha kufiwa na wazazi wake akajikuta kimasihara amezama kwenye penzi la nchizi
Mchizi akaona sio kesi ngoja tu niwe najipoza ile kusaidiana
Kupoteza nyege vs kuchukua mahitaji basi wakawa wanaishi hivyo
Kipindi hiko huyo manzi alikuwa yuko na mtoto yaani mimba alimpatia kipindi anasoma kidato cha pili na mchizi aliempa mimba kujisepea
Ila huyu jamaa yangu hakujali hayo ye alichojali kusaidiana, wakaishi hivyo
mwaka ukapita na mtoto akafikisha mwaka ikabidi dem ahamie kwa mchizi
mchizi akasema ukitaka hivyo mtoto awe na kila kitu changu yaan majina ya badilishwe kwenye vyet vyote mana wakat wa ujauzito alitumia majina ya mzaz dem jamaa
na siku ukizingua tusaini hapa nimtoe kafara kufidia hasara zangu
Dem akakubali hapo upande wa familia ya dem wala wa jamaa hawajui lolote
Mwaka unusu ukakata dogo kakua anajua huyu ndio dingi jamaa akaona huu ndio muda wa kumpeleka mwanangu/fake kihom wakamjue
Bas jamaa akaandaa mazingira ya kuwadanganya wazazi wake wakakubali, mtoto akapelekwa mama mtu akaachwa kihom wamekaa kama miezi miwili kipindi hicho mtoto yupo kwa bibi/feki
Baada ya miezi mitatu kufika mtoto alikuwa anaumwa ndio kwa mara ya kwanza dem kupajua kwa mchizi
na mchizi kwa kuanza kumtambulisha kwa wazazi kwa swaga nyingi za uongo
Miaka miwili ikapita mtoto kakua ila demu anaishi kwa mshikaj kama marafiki ikumbukwe mahitaji yote ya kihom kwa dem anabeba mchizi
Pasipoti wazazi kujua mana dem wazaz wake walimuacha duniani akiwa na mzigo wa wadogo wa nne ila jamaa akawasaidia
Miaka mitatu ikafi hatimaye mchizi akampa mimba yule dem
hapo yule mtoto aliyeikuta mimba na kuilea kafika miaka mitatu ila anaishi kwa bibi fek
Bas mimba ya huyu mchizi ilipofika miez sit ikAhalibikA wakaa tena miez nane akampa mimba akazaliwa mtoto wa kiume
Hapo jamaa bado hajulikani kwa mwanamke nikizungumzia ukoo wa mwanamke hapo kina shemeji tu ndio wanamjua mchizi ila wengine wanasikia tu
Ndugu wa mwanamke wakaanza kudai jamaa akajulikane, akajulikane huyoo aje ajulikAne ajulikane
jamaa ikabidi awaambie wazaz wake wazazi wakakubali ishu barua ya posa inamfikia nani kule kwa dem
jibu hakuna mara shangazi anadai yy mamdogo yy bamdogo yeye
Wazazi ikabidi wakaushe miaka sita ikapita kutokana na dem kuvutwa masikini na kelele za mawifi kuwa hupendwi ndio maana kaka hajakutolea posa
Dem ikabidi akusanye chAke arudi
Kwao familia yote kaiacha kwa bibi sasa hapa ndipo mgogoro umeanza
Upande wa kiume wanasema hawawezi toa barua hadi mwanamke arudi kwanza kwa mume
Na upande wa kike wamejikusanya wanasema mtoto wao hawezi kuja kwao mpaka iletwe barua ya posa na binti kakazia hapohapo hawezi rudi bila kuletwa posa ikumbukwe dem aliwatusi wale mAwifi sababu tu za kibinadamu hasira
Sasa wakuu katika mtanange huu ungemshauri vipi mchizi ikiwa barua ya posa kwa kiukoo wao hidhin hutoa baba mkwe na baba mkwe kakaza na jamaa demu wake anamuhitaj ukichek miaka saba imepita toka mchizi na mke waish kiholela