Familia ya Marehemu Kabwe: Hatujakataa kuishirikisha Serikali kwenye msiba

Informer

JF-Expert Member
Jul 29, 2006
1,599
6,669
Wasema aliyenukuliwa na vyombo vya Habari si msemaji wa familia.

Soma:

3fee318a7479554944ab74f85640af6a.jpg


Kulikuwa na thread hii hapa JF na ikaibua mjadala mzito: Familia ya Marehemu Wilson Kabwe wasema hawataki ushiriki wa serikali msibani!
 
hiyo ni damage control tena state controlled ....do you expect ndugu watakuwa na furaha yeyote ndugu yao kutumbuliwa kwa aibu ile tena hata bila mkuu wa mkoa kumsikiliza kabla ya kwenda kumshitaki huku akiwa kitandani na maradhi?
 
Nina imani Marehemu huko aliko huenda aridhiki na kauli hizi.

Ushauri wa bure familia/Ndugu wa Marehemu Kabwe muwe makini kipindi hiki na msiwe na kujipendekeza popote ili kupata msahada muelewe mazishi ni ibada hivyo mtulie na kumwomba muumba wenu
 
Back
Top Bottom