Familia ya Gwajima yaja juu kwa udanganyifu wa Askofu Gwajima

Kama wajinga mliongozana kwa babu kunywa kikombe kwa nini msiamini mtu akifa atafufuliwa na Gwajima..
 
Kama CCM inatumia familia hizo duu jamani tumuogope mungu hyo Familia kama in a njaa io imezidi
 
Mchungaji Gwajima kaa chonjo naona 'MAJITAKA' hayooooooo yanatiririka kuelekea ulipo........
 
Tukiwa na washauri wa namna hii ambao wanawashauri viongozi wanaogombea nafasi za juu za uongozi wa nchi yetu watatufikisha wapi?

Mchungaji ambaye amefikia kudanganya hadi familia kwa taifa atafufikisha wapi?

Tujihadhari sana na wagombea uchwara ambao wameshikiwa akili na watu wa aina ya mchungaji Gwajima ambao wanafikia hatua ya kudanganya hadi familia zao.

Hii ni hatari sana kwa maendeleo ya taifa letu na kama tutaendelea kuwa na kizazi kinachoyumia mwavuli wa dini hakika tutaingizwa shimoni.
That's a Million Dollar Question!
 
POVU la nini? Wewe kama unajua CCM walicho kifanya toa jibu!!! Mimi ninacho kiona ni kile ambacho wahenga walitueleza kwamba kilitengenezwa na wakoloni. Mf. reli, barabara (maana zote mnazo jidai mmejenga wengine tunaona mmekarabati barabara za wakoloni), Ikulu, majengo ya mahakama, magereza, bandari, n.k.

Vp lakini majengo pacha BOT,UDOM,Mabasi ya mwendokasi,majengo ya NSSF,PPF,NHC,Daraja la Mkapa,kigamboni.Barabara(mza-dar) nk
 
Ccm kweli mmeishiwa. Of all the people ndio mmeona mumvamie gwajima kweliii
 
Mtu usipokuwa na background ya knowledge unakuwa kituko hata katika kutoa mchango.
Nani asiyejua kuwa Gwajima aliingia Dar kwa tiketi ya kufufua misukule pale Tanganyika Packers?
Pengine nyie watoto mnaoota meno sasa.

Principle ya tabia ya mtu kama Gwajima ni , once a liar, always a liar.
Na unakumbuka sakata lake na Flora Mbasha limeishia vipi?
Njia ya mwongo ni fupi na Mungu aliye hai kazima anamuumbua tu.

Nianze na hawa watoto kwanza kama ni kweli wapo na wanayoongea ni ya kweli, malalamiko yao kuhusu ufufuo wa baba yao kiimani hayana msingi kwani watumishi wa Mungu huombea wagonjwa na wanapona lakini si wagonjwa wote hupona!! Na watumishi wa Mungu hao ni watumishi halali na kweli wameitwa kumtumikia Mungu. Hapa naamanisha kuwa Askofu Gwajima aliomba kulingana na imani yake mponyaji ni Mungu na si Gwajima for Gods sake! Kazi yake yeye ni kumwomba na kumlilia Mungu na hilo watoto wanakiri alilifanya,hapo kosa lake ni nini? Malalamiko yao mengine kuwa hawasaidii pamoja na kuwa na Helikopita na magari ya kifahari! Mtu huwajibika na watoto wake wa kuwazaa kisheria na si mtoto wa ndugu, hao watoto hawana mandate ya kumshtaki Askofu Gwajima eti hawasaidii tena kwa upuuzi huu hata kama alikuwa na wazo la kuwasidia ndo ataachana nao kabsaa! Mwisho kwetu wachangiaji,sio vizuri kutoa allegations kwa watumishi wa Mungu,hawa ni wapakwa mafuta wa Mungu. Wameanzisha huduma kwa kuitika wito na serikali inamtambua askofu Gwajima hajafungua huduma yake kinyemela. Tuwaacha wafanye huduma zao kama mtu haridhiki na huduma ya askofu Gwajima, ni rukhsa kutafuta huduma nyingine,kuna waumini ambao huwaambii kitu kumhusu askofu wao sasa maneno tunayoongea hapa ni kutaka kuleta vurugu ambazo hazina ulazima! Jamani masuala ya imani za watu tuweni makini sana kuchangia tusiongozwe na ushabiki wa vyama vyetu.
 
Tukiwa na washauri wa namna hii ambao wanawashauri viongozi wanaogombea nafasi za juu za uongozi wa nchi yetu watatufikisha wapi?

Mchungaji ambaye amefikia kudanganya hadi familia kwa taifa atafufikisha wapi?

Tujihadhari sana na wagombea uchwara ambao wameshikiwa akili na watu wa aina ya mchungaji Gwajima ambao wanafikia hatua ya kudanganya hadi familia zao.

Hii ni hatari sana kwa maendeleo ya taifa letu na kama tutaendelea kuwa na kizazi kinachoyumia mwavuli wa dini hakika tutaingizwa shimoni.

Sijajua hii taarifa kwa umma inatusaidiaje sisi umma? pia je ni vyombo gani vya habari vilikuwepo na vimeweza kuirusha hii taarifa?

vinginevyo hii habari itakuwa ni ya kisiasa na si kifamilia tena. na suala la mahakamani siyo la kutangazia uma ni la kunyoosha njia kwenda mahakamani .

Kama ni wao kweli wamepotea njia na kama ni wapambe wa kisiasa basi hapa wamechemka sana maana hawakutakiwa kumtumia huyo kuzungumzia jambo la kifamilia, imani pamoja na sapport kwa mgombea kwa pamoja.

TUTUBU NA KUREJEA KWA MUNGU WETU
 
Hizi sasa majitaka hadi kwenda kwa wanafamilia. Ni familia ipi isiyokuwa na issues? Rudisha chooni ulikotoa

Imagine hao "watoto" wanalalamika baba mdogo hawapi hata hela ya kalamu na karatasi, lakini wana hela ya kufungua kesi na hela ya kulipia hiyo habari gazetini??!

This is very very funny...and bad timing! Kama baba yao hakujipanga ili awaachie chochote pindi akifa...hayo siyo makosa ya Gwajima!
 
Back
Top Bottom