[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] kuna mwenzio yy alikuwa na mke 1 akamua kuongeza wapili akaanza mnyanyasa bimkubwa siku anataka kukimbia bimdogo akamsema kwa mmewe akapata kipondo haswa, siku nyingine katoroka karudi kwao baada ya siku 2 dume likamfuata kufika kwao msosi wanguvu ukaandaliwa ile kunawishwa na kula tonge moja viboko vilishushwa na shemeji zake dume la watu liliamuliwa na mjumbe.Hbr Zenu Jf.Mfano Mmegombana Kidogo Na Wife Mara Huyo Kwao Anawambia Mama Yake,baba Yake,makaka,madada,wajomba Halafu Wote Wanakujia Juu Unabaki Mdogo Kama Paka Aliyefumaniwa Akinywa Milk.Wewe Utafanyaje?
Ugonvi Wa mpaka mkeo anaenda kwao sio Mdogo, otherwise ww uko dhaifu sana,Hbr Zenu Jf.Mfano Mmegombana Kidogo Na Wife Mara Huyo Kwao Anawambia Mama Yake,baba Yake,makaka,madada,wajomba Halafu Wote Wanakujia Juu Unabaki Mdogo Kama Paka Aliyefumaniwa Akinywa Milk.Wewe Utafanyaje?
Mkuu huyo yuko Rwanda huko kwa kagamepicha yako nzur nimeuramani
Mkuu huyo yuko Rwanda huko kwa kagamepicha yako nzur nimeuramani
daaa umenikumbusha demu wangu wa kinyaruanda tulie potezana nawapenda sana ni wazur na wanajua kupendaMkuu huyo yuko Rwanda huko kwa kagame
Pole mkuu jipange tuu wanapatikanadaaa umenikumbusha demu wangu wa kinyaruanda tulie potezana nawapenda sana ni wazur na wanajua kupenda
watoto warefuwarefu shingo ndefu daaa sijui ntawapata wapi tenaPole mkuu jipange tuu wanapatikana
Hahahaha tena na mahari wamekulipia kabisaaaKwa lugha fupi ukifanyiwa hivi umeolewa.