Kitukizuri
Member
- Apr 25, 2011
- 21
- 1
Na mlipokuwa naye alisema anatoka kijiji gani huko iringa?poleni sana, labda tuanzie hapa....mlimpataje?
\poleni sana, labda tuanzie hapa....mlimpataje?
tulitewa na mama mmoja ambaye kwa sasa amerudi iringa na hatuna mawasiliano naepoleni sana, labda tuanzie hapa....mlimpataje?
\tulitewa na mama mmoja ambaye kwa sasa amerudi iringa na hatuna mawasiliano nae
\<br><br>halafu mkakaa nae more than a year bila kumuuliza anatoka wapi,.....anyway poleni lakn msiba unawahusu sana na msikwepe kabisaaaaaaaaaaaaaa,...wekeni picha kwenye vyombo vya habari kama tv,magazett<span style="color: rgb(0, 0, 205);">ulitewa na mama mmoja ambaye kw</span>a sasa amerudi iringa na hatuna mawasiliano nae
Makosa mawili mliyofanya hayawezi kurekebishika. Kwanza kukaa naye muda wote huo bila ya kujua kwao ni wapi, wazazi wake ni akina nani, kutomuuliza huyo mama aliyewaletea habari zote zinazomhusu.
Kosa la pili ni pale aliposema anarudi nyumbani mkamwacha aondoke bila ya kujua anaelekea wapi. Laiti mmoja wenu angamsafirisha hadi kwao!
Kilichobaki ni kukubali jukumu lenu. Ikiwa hamjui kwo wapi, mzikeni hapo hapo mlipo, lakini ni lazima mbebe jukumu hili.
Poleni sana kwa msiba.
RIP HG.
Ni kweli tulifanya kosa,lakini cha muhimu sasa ni kuangalia nini cha kufanya.tunajaribu kufatilia kwa rafiki zake tumegundua kwao ipogolo.tunajaribu kutafuta ndugu zake
Ni kweli tulifanya kosa,lakini cha muhimu sasa ni kuangalia nini cha kufanya.tunajaribu kufatilia kwa rafiki zake tumegundua kwao ipogolo.tunajaribu kutafuta ndugu zake
Kwa kuwa wameondosha Thanx, ninakugongea yako hapa Live. Asante sana.Umenena vema Mammamia....
Inabidi tu kukubali jukumu hilo. Poleni sana kwa msiba huo.
Hayo ni matatizo tuliyonayo wengi,tunapenda kusimplelise mambo sana,huu ni wakati wa kujifunza,lakini ni bora kumshauri cha kufanya sasa!miez 13 mnakaa na mtu hampajui kwao? Ingetokea amefia mikonon mwako ungefanya nini? Jibu swali la preta then ndo tutajua cha kukushauri.