Yes,life can't be uniform,lakini nakushauri KAMA NA WEWE ULIKUWA UNAISHI HIVO ACHA MARA MOJA NA SIO MAISHA HAYO IKIWA TU UMESHATIMIZA UMRI WA MIAKA ZAIDI YA 25 NA UNAJIMUDU KIMAVAZI,MALAZI NA KULA BASI NI WAKATI MUAFAKA WA KUISHI NA MTU ILI UWE NA WARITHI WA BAADAE NA VILE UNAVYOVITAFUTA SASA VIWE NA MAANA,LA SIVYO HAKUNA SABABU YA KUJIANGAISHA NA KUTUMIA AKILI NYINGI ZA KUTAFUTA WAKATI HAKUNA WANAOKUTEGEMEA KWA LOLOTE,ZAIDI ZAIDI NDUGU WANAZIPIGIA MAHESABU MALI ZAKO,LABDA KAMA UNA MATATIZO YA KIAFYA NDIO UNA JINSI.
Wewe mmbwa nini au hujaelewa mada inataka nini.wewe ni anus kweli mxiuuuWewe nae utakua wale wale na january zenu za kutosha mtaishia kucheza kwaito harusi za wadogo zenu
Sent using Jamii Forums mobile app
Mwanaume anakisingizio bado anajipanga,binti unafanya nini?hivi kwanimi mwanamke asipoolewa mapema akavuka miaka thelathini...huwa anasimangwa sana na watu hadi jamii anayoishi
lakini
mwanaume akicheleqa kuoa wala hasimangwi..
Unachekesha kijana haya mawazo hayata kusaidia kamwe ila kwa kuwa mnajua kubisha time itaongea badili fikraMkuu, unacheka eeeh!?
Haya maisha, kila mtu bora aishi anavyoona ni rahisi kwake na anafurahia maisha.
Ukitaka kufurahisha kila mtu, ni bora ukauze ice creams , maana ndizo mteja akionja tu ni lazima atabasamu.
Mimi ni mwanaune. Ila naona kuwa , kama mwanamke ama mwanaune anaamua kutoolewa/ kuolewa na yuko na amani acha aishi apendavyo.
Any way, her life, its her choice!
Ndio!!
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] umenifanya nicheke sana.Shida kubwa wanawake wanshindwa kutambua Mwanamke wa kuolewa anatengenezwa umri kati ya miaka 22 hadi 25 ambapo mwanaume atamuoa akiwa na miaka 27 hadi 30 lakini umri huo sasa hawa dada zenu ndo muda wa kuvaa viguo vya nusu uchi na kujifunza vitu vya hovyo hovyo na kuwa na mabwana wengi badala ya kujitunza .
Wakija kufika umri wa kuolewa miaka 25 hadi 30 wanakua na matiti kama ndala za umoja uvungu umeharibika haufai nani atakuoa sasa.
MTAISHIA KUCHEZA KWAITO HARUSI ZA WADOGO ZENU MSIPO BADILIKA...
Sent using Jamii Forums mobile app
mwanaume hazeeki lkn mwanamke anazeeka mapema hiyo inatokana na mtazamo wa jamii toka adam hadi leohivi kwanimi mwanamke asipoolewa mapema akavuka miaka thelathini...huwa anasimangwa sana na watu hadi jamii anayoishi
lakini
mwanaume akicheleqa kuoa wala hasimangwi..
pole dada, muombe Mungu akupe kuolewa na mume mwema, usipinge kwasababu tu hujaolewa/umezalishwa na kuachwaSiyo Kweli.
Unabashiri.
Wee kila MTU na maisha yake hatuwez kusikiliza wala kufata mitazamo yako wee sio mungu kama upon ndoan na unaona no vyema in wewe acha tuenjoy life tunayopenda maisha hayana formula
hahaha, mkuu wanavaaga zile bra za kubana matiti ukija yaona kiuhalisia humrudii tena.. halafu unakuta uvungu umeharibik mpaka ngozi yake inaning'iniaShida kubwa wanawake wanshindwa kutambua Mwanamke wa kuolewa anatengenezwa umri kati ya miaka 22 hadi 25 ambapo mwanaume atamuoa akiwa na miaka 27 hadi 30 lakini umri huo sasa hawa dada zenu ndo muda wa kuvaa viguo vya nusu uchi na kujifunza vitu vya hovyo hovyo na kuwa na mabwana wengi badala ya kujitunza .
Wakija kufika umri wa kuolewa miaka 25 hadi 30 wanakua na matiti kama ndala za umoja uvungu umeharibika haufai nani atakuoa sasa.
MTAISHIA KUCHEZA KWAITO HARUSI ZA WADOGO ZENU MSIPO BADILIKA...
Sent using Jamii Forums mobile app
Hii falsafa hata single mother wanaitumia sana mkuu.Hahahahahaha! Kama alishawahi olewa kabla then akaachika,ndo anazungumza falsafa hiyo.lakini hajawahi hata kuolewa anazungumza hivyo kufariji moyo,na kujipa matumaini.utamu wa ngoma uingie uicheze.
Ndio najua,wapo watu wanajuta kuwepo na hao wanaoishi nao,hivo ndivyo dunia ilivyo na ni lazima yawepo hao ili maisha yawe maisha,maisha si kitu kama hujakutana na mitihani ya namna yoyote na moja ya mitihani ya wanadamu tena mikubwa kabisa basi ni hili swala la mahusiano. Lakini bado wewe kama wewe na pengine kama mwenzako uliyeachana nae anavyosonga mbele na maisha yake ndivyo na wewe inatakiwa hivyo hivyo usonge mbele na maisha yako. Lakini pia maneno yangu mimi si sheria,ila hapa tunapanuana mawazo tu,ni hiari yako kuyachukua au kuyaacha. KAMA UHUSIANO WAKO UNAUMBA AU ULIYUMBA HAIMAANISHI NDIO MWISHO WA KUANZISHA MAHUSIANO NA HAITAKUWA MWISHO WA KUANZISHA MAHUSIANO HADI PALE UNAPOPELEKWA KABURINI,KWASABABU WEWE KUWA NA MAHUSIANO YENYE MIGOGORO SI WA KWANZA WALA SI WA MWISHO WEWE ANGALIA MAISHA YAKO.Hivi, wajua pana watu wameoa au kuolewa lakini wanajuta !?
Japo, kumbuka sijasema watu wasioelewa ama kuoa ila hicho kitu kiwe ni maamuzi binafsi na siyo shinikizo la jamii, ndugu , jamaaa na marafiki.
Maisha hayana formula.
Naunga mkono hoja mkuu! Tatizo linaanza huyo anayehuburi ndoa sio lazima,haliyakuwa utamkuta ana watoto,au anatafuta watoto wa kwa udi na uvumba,au anatafuta migegedo,kwanini asiishi kama bwana yesu? Akiishi kkama bwana yesu akizungumza hivyo atakuwa sahihi.na hakuna atakaye mpangiaNdio najua kuoa au kuolewa ni chaguo la mtu na pia si sheria,lakini sio suala la jamii yangu,ila ni jamii zote duniani watu WANAOANA AU KUISHI PAMOJA,ILA KIUTU NA KIUBINADAMU,MTU ANAYEISHIMIKA KTK JAMII NI YULE ALIYEOA AU KUOLEWA AU ANAISHI NA MTU. Haina maana unatafuta maisha ukiwa hakuna unaowatafutia,au hakuna wanaokutegemea,ina maana gani sasa ya kuishi si ujinyonge tu ...... Kwa mfano leo hii wewe ndio umeshaishi maisha yako ya kutokuwa na mtu maana yake HUTOKUWA NA MTOTO/WATOTO sasa kesho na keshokutwa umekufa mali ulizozitafuta unamuachia nani au zilikuwa na sababu gani ya kuzitafuta ........... ?
Upo sahihi kabisa.Naunga mkono hoja mkuu! Tatizo linaanza huyo anayehuburi ndoa sio lazima,haliyakuwa utamkuta ana watoto,au anatafuta watoto wa kwa udi na uvumba,au anatafuta migegedo,kwanini asiishi kama bwana yesu? Akiishi kkama bwana yesu akizungumza hivyo atakuwa sahihi.na hakuna atakaye mpangia
Hahahahaha! Eti anajifanya mwanaumeWewe nae utakua na january za kutosha na hujaolewa